Je SSRA wameshaita enterview

kichakorojack

Member
Sep 19, 2011
78
12
Kuna kipindi ssra walitangaza nafasi za kazi ilikuwa august, hivi wameshafanya shortlisting? any idea please assist.
 
Mkuu SSRA walishaita, inategemea wewe uliomba post gani mfano watu walioomba MIS Officer walifanya interview ya kwanza 19 mwezi huu. Afu interview ya pili ikwafanyika tarehe 21.
 
Mkuu pale pana ukiritimba nafasi zilizotangazwa kulikuwa na watu wa ndani so walitangaza as formality..hawana jipya mishahara yao midogo,kununua corola ufanye kazi bila tumizi kwa miaka 3 bado kujenga.
 
Mkuu SSRA walishaita, inategemea wewe uliomba post gani mfano watu walioomba MIS Officer walifanya interview ya kwanza 19 mwezi huu. Afu interview ya pili ikwafanyika tarehe 21.

Duuuuh..... ukiona manyoya....., ujue keshaliwa...!
 
Uongozi wa SSRA ni replica copy ya PPF. Madudu na ufisadi ndani ya PPF hautakwepeka ndani ya SSRA. DG toka PPF, Director wa IT -PPF, Director wa Internal Audit-PPF, Director wa PR, naye toka PPF. This implies that SSRA is EQUIVALENT to PPF. Pole kama ulitarajia kazi pale

Back
Top Bottom