Je, Spensa Lameck amerudi TBC?

Emmanuel Robinson

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,497
1,133
Jioni hii kwenye TBC aridhio nimemwona mtangazi Spensa Lameck akiripoti kutoka Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam . Je, itakuwa amerudi TBC akijiandaa kukiwasha kwenye kampeni tena kunako mwezi ujao? Picha sijapiga nilisahau kama kuna mtu ana picha atuwekee
 
Unasahau nini !! walivyoshambuliwa pale Lumumba na Mzee Mengi pamoja, mpaka walipookolewa na Bernard Membe kwenye gari lake la uwaziri ?!. Lazima ajisalimishe ili apate mkate . Kumbuka vyombo vyote ni wahanga
 
Hajawahi kua Tbc,alikua Itv.

Naona Buhohela kamrudisha
kwa style nyingine,uchaguzi huooo.
Labda kaletwa pale TBC ili muda wa kuanza kampeni ukifika wamtumie kunogesha kampeni za JPM kwa mbwembwe zile zile za 2015 kwa Lowassa.
 
Sio karudi. Ndo kaenda ila kuna baadhi ya watangazaji walitia Nia so inawezekana ameenda kuziba pengo
 
Huyu huyu aliyekuwa ITV na kutuonyesha jinsi CCM na Tume walivyokuwa wanaiba maboksi ya kura mubashara kwenye TV? Halafu baada ya hapo ITV wakaomba msamaha kwa kuonyesha ukweli wa wizi wa kura?
Jioni hii kwenye TBC aridhio nimemwona mtangazi spensa lameck akiripoti kutoka uwanja wa uhuru dar esalaam . Je, itakuwa amerudi Tbc akijiandaa kukiwasha kwenye kampeni tena kunako mwezi ujao? Picha sijapiga nilisahau kama kuna mtu ana picha atuwekee
 
Jioni hii kwenye TBC aridhio nimemwona mtangazi spensa lameck akiripoti kutoka uwanja wa uhuru Dar es Salaam . Je, itakuwa amerudi Tbc akijiandaa kukiwasha kwenye kampeni tena kunako mwezi ujao? Picha sijapiga nilisahau kama kuna mtu ana picha atuwekee
Spenser anajua sana,wapuuzi flan walitaka kumpoteza kwenye ramani mtoto wa watu
 
Jioni hii kwenye TBC aridhio nimemwona mtangazi Spensa Lameck akiripoti kutoka Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam . Je, itakuwa amerudi TBC akijiandaa kukiwasha kwenye kampeni tena kunako mwezi ujao? Picha sijapiga nilisahau kama kuna mtu ana picha atuwekee

Kutokana na Hali ngumu na Ukata uliopo IPP Media huku Wakikopwa tu Mishahara ya Miezi 13 Yeye na Wilberforce Ngoto wamehamia huko TBC1.
 
Kutokana na Hali ngumu na Ukata uliopo IPP Media huku Wakikopwa tu Mishahara ya Miezi 13 Yeye na Wilberforce Ngoto wamehamia huko TBC1.

Hizi media zina shida sana.....utaona mtangazaji maarufu hadi unamtamani kumbe halipwi mishahara kwa muda mrefu.

Sahara media nako hali si shwari.
 
Usalama..

chai.jpg
 
Ukitaka tu Kuona hao wa IPP Media wanavyogombea Sahani za Ugali na Maharage ya Juzi 24/7 weka Kambi hapo Maryland Hotel Mwenge ujionee.

Maryland soda tu pepsi ni buku..hawawezi kukaa pale. Sema pale kwa wamama wnaouza wali chini ya miavuli na mabanda opposite na kiwanda cha Subash.
 
Maryland soda tu pepsi ni buku..hawawezi kukaa pale. Sema pale kwa wamama wnaouza wali chini ya miavuli na mabanda opposite na kiwanda cha Subash.

Ndiyo hao hao akina Mama Ntilie ambao Mimi nawamaanisha sana kwani ndiyo huwa wapo hapo chini ilipo Maryland Hotel Mwenge Mkuu wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom