Je, Sophia Simba anaweza kutetea uanachama wake Mahakamani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,105
164,483
Maana kikatiba haruhusiwi kukata rufaa ndani ya chama, sasa najiuliza kama hajaridhika na maamuzi haki yake ataitafutia wapi?Sisi watu wa soka hatuendagi mahakamani, sijajua kwa wanasiasa inakuwaje!
 
Mi nawashauri wote mlio vuliwa uanachama msiunde vyama vipya bali tafuteni vyama vikubwa hamieni tukusanye nguvu 2020 nasisi tumwage mboga tuwapige chini wamezoea kujiona mungu watu
 
Haki yake ataitafuta na kuipata akiwa amesharudi nyumbani kwake Chadema.
 
Maana kikatiba haruhusiwi kukata rufaa ndani ya chama, sasa najiuliza kama hajaridhika na maamuzi haki yake ataitafutia wapi?Sisi watu wa soka hatuendagi mahakamani, sijajua kwa wanasiasa inakuwaje!
Jaji mtungi msajiri wa vyama atamsaidia kama alivofanya kwa Lipumba.
 
Mi nawashauri wote mlio vuliwa uanachama msiunde vyama vipya bali tafuteni vyama vikubwa hamieni tukusanye nguvu 2020 nasisi tumwage mboga tuwapige chini wamezoea kujiona mungu watu
Hilo linatarajiwa, vuta subira utamwona kamanda sophia
 
Maana kikatiba haruhusiwi kukata rufaa ndani ya chama, sasa najiuliza kama hajaridhika na maamuzi haki yake ataitafutia wapi?Sisi watu wa soka hatuendagi mahakamani, sijajua kwa wanasiasa inakuwaje!

kama Zito
Hamad Rshid
Sakaya na wengine walifukuzwa na vyama vyao na mahakama ikawaruhusu kuendelea na ubunge wao basi nao wana weza kukomaa tu...na mahakama tayari imeshatoa hukumu ya kurejea..hivyo ubunge wataendelea nao hata kama ccm watanuna
 
Mi nawashauri wote mlio vuliwa uanachama msiunde vyama vipya bali tafuteni vyama vikubwa hamieni tukusanye nguvu 2020 nasisi tumwage mboga tuwapige chini wamezoea kujiona mungu watu
kwenye hivyo vyama vikubwa hakuna kufukuzana uanachama?? [HASHTAG]#rejea[/HASHTAG] yaliyomkuta zitto kabwe#
 
Back
Top Bottom