Je Sitta Kuruhusu mijadala ya Ufisadi Bungeni ni Ujasiri Au Udhaifu.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Sitta Kuruhusu mijadala ya Ufisadi Bungeni ni Ujasiri Au Udhaifu..

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by lufunyo, Nov 16, 2010.

 1. lufunyo

  lufunyo Member

  #1
  Nov 16, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mmoja wa wafuasi wa kupigania haki za wanyonge na kupambana na ufisadi Tanzania.>nilifurahishwa sana na Bunge lililopita na jinsi lilivyoendeshwa. Lakini kinachonikwaza mpaka leo ni namna michakato yote ya mijadala ilivyoisha. Hakuna suluhisho hata moja lililofikiwa ili kuokoa rasilimali zetu kutoka mikononi mwa mafisadi. Na hii yote imesababishwa na udhaifu wa Mh. Sitta kushindwa kusimama kidete kutetea hoja ya mijadala bungeni badala yake ameendelea kunyenyekea uanachama na ujumbe wa chama chake. Je Sitta alikuwa na lengo mahsusi ya kuruhusu mijadala ile bungeni au ni udhaifu wake wa kushindwa kuzuia mijadala kama ile ndiyo kulipelekea kuibuka kwa hoja zile? kama ni ndiyo kwanini alirudi Kwenye chama kuomba misamaha ili asifutwe uanachama? mi bado simwelewi vizuri naomba michango yenu wanaJF.:sorry:
   
 2. i

  ifolako Member

  #2
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa amekomaa anaitwa 'Saba' ila mwaka 2015 atakuwa Nane.
   
 3. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Mimi nadhani sio udhaifu wa kushindwa kusimamimia mijadala. Sitta alijipambanua kama mtu mwenye uwezo wa hali ya pekee katika kuruhusu mijadala yenye manufaa kwsa taifa na naamini kuwa alidhamiria kuhakikisha taifa haliendelei kuibiwa na wachache. Tatizo kubwa lilikuwa ni kutaka kukata tawi la mti aliokalia (CCM) ambalo viranja wake wakuu ndio walio mstari wa mbele kuwafisadi watanzania. Hili ndilo liliopelekea kutaka kutimuliwa uanachama. Hapa ndipo udhaifu ulipo na ndio maana mimi naamini hata kama leo akitokea malaika kupambana na udhaifu wa CCM kama atakuwa ndani ya CCM basi hatafanikiwa, maana kwa sasa mafisadi ndio wenye chama.[/FONT]
  [FONT=&quot]Kimsingi aliamini ataweza kuutafuna mfupa lakini looh!!! Akajikuta anazidiwa janja na wenye chama. Pole bwana Six ila naamini bunge la 9 chini yako litakumbukwa kwa chemchem ya vuguvugu la mabadiliko Tanzania!!! Bravo Six[/FONT]
   
 4. d

  dotto JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni mwoga
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Sitta hakuwa anajisimamia mwenyewe. Ndio sababu anachezewa na kila mmoja. Alichezewa na wapinzani sasa anachezewa na CCM. Labda hii ndio lugha tamu kwa wana CCM
   
 6. Joy1981

  Joy1981 Member

  #6
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo chacha. no comment at oll..........
   
 7. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sitta ni jasiri ila kikwazo ni mfumo wa CCM kwamba wanaujasiri wa kusimamia uozo.
   
 8. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri mambo yenu ya chama mkajadiliane Lumumba
   
 9. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  yeye kama spika alitimiza wajibu wake, ambao hatukutimiza wajibu wetu ni sisi wananchi ambao wabunge ni wawakilishi wetu. Hatukuandamana kumuunga mkono sitta na timu yake, hali amabyo ingeifanya serikali kuchuku hatua kali. Badala yake baada ya kuona kuwa wananchi hatuchukui hatu za kufaa mafisadi wakamshughulikia yey na timu yake huku sisi tukishuhudia.
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ivi imagine kama angekuwa Msekwa pale kama mngejadili Richmond
  Issue ni CCM but Mzee Six aminia
   
 11. sensa

  sensa JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sitta alionyesha ujasiri na kutimiza ile ahadi yake ya standard and speed.Na ukweli aliweza kuruhusu mijadala mizito ambayo iliruhusu uma kuweza kujua hujuma tunayofanyiwa na mafisadi.Hivyo tatizo ni CCM.
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Huo ulikuwa ni ujasili na ataendelea kukumbukwa daima!the truth shall prevail!!
   
 13. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I suppose kilichommaliza Sita ni danadana na chenga nyingi akiwa golini. When the strategic window of opportunity open ( and it does once) one got to exploit optimally. Six had to finish business early enough, kubla wachawi hawajamshitukia na kujipanga. Imebaki ningejua... Any way he achieved what he invested (mtaji kiduchu, faida kiduchu) and now is paying the price. He had the resource and opportunity but could not score.
   
Loading...