Je sistimu ya Marekani inamsaidia bi. Hilary clinton kuingia white house?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,668
40,917
I make reference to Obama's speech once a while while making a comment about Donald, pale aliposema " Donald will never be a president".

Mfululizo wa mauaji ya blacks marekani umenyanyua kope zangu na kuanza kuirudia kauli hii, kwamba juhudi zinafanyika kuhakikisha kua huyo bwana haioni ikulu ya marikani.

Wanausalama wa marikani, viongozi wastaafu na baadhi ya top political figures marikani wanamuona donald kama a threat to the national security kutokana na kauli zake zisizo na spidi gavana towards other countrier and economis partners wa us.

Donald hajawa rafiki sana wa race ya weusi ambao kwa idadi yao wanaweza kuwa a deciding factor katika uchaguzi wa novemba mwaka huu. Kutokana na kwamba yeye sio rafiki sana wa kundi hilo, ambalo nalo ni muhimu kuna ulazima wa kuhakikisha kwamba halipati.

Matukio haya bila shaka yameongeza chuki baina ya weusi na weupe huko states, lakini vile vile chuki zitakua zimeongezeka kwa mgombea yule ambaye anaonekana hana ushawishi kwa kundi hilo na ambaye anaonekana hata akishinda haki zao hazitalindwa.

Kwa upande mwingine Bi. Hilary Clinton amekua rafiki mkubwa sana wa kundi hili na other minorities ukijumuisha pia Mexicans and other latinos. Hivyo kundi hili litakua very secured endapo mgombea anayeonekana kulipenda kundi hili kundi atashinda.

Kwakua Donald hapendwi na wenye nchi, na ingawa bado anaonekana kupambana, basihakuna namna zaidi ya kupambana nae kwa kila hali.

Naona kama vile sistimu imeingia kazini na kuhakikisha huyu bwana haioni white house. Na vile vile, Bi. Hilary ana nafasi ya kushinda uchaguzi ujao based on sympathy votes, of which i think wahusika wamefanikiwa kuzipata.

That is a deciding factor. Hilary is the next US president kwa msaada wa sistimu ya huko.
 
Back
Top Bottom