Je, simu inalinda penzi au inabomoa penzi?

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
Kwa kufuatilia wengi wanasema simu inalinda penzi na wengine wanasema simu inabomoa penzi,je upi ni msemo wa kweli?nashindwa kuelewa,naombeni michango yenu.
 
Yote ni sahihi. Inaweza kulinda au kubomoa kulingana na matumizi yake!
 
Kulinda au kubomoa sio makosa ya simu bali ni watumiaji.., tukianza kulaumu simu tutalaumu kila kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom