Je, shule ya Lucky Vincent ilikuwa inakusanya rambirambi kwa mamlaka gani?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
Kuna tangazo nililiona cloudstv kuhusu wamiliki wa shule ya lucky vincet kuanza kukusanya michango ya rambirambi.

Je lilikuwa ni zoezi sahihi?
 
Jamani mbona mnazidi kuwataabisha hawa watu? Hamna Rambirambi inayoweza kuwaletea Faraja ya kweli juu ya Uchungu walio nao. Ni vema tukaicha hii shule wapone kwanza.
 
Ivi nauliza mkurugenzi wa shure atarudisha Ada kwa wazazi waliomaliza ada ya muula wote bila kumaliza?
 
Back
Top Bottom