Je, Shirika la Nyumba la Taifa linaweza kunijengea nyumba kwenye eneo langu?

kiete

Member
Jun 2, 2013
84
13
Natumaini wote wazima.Nahitaji kujengewa nyumba na shirika la nyumba kwa mkopo kwenye eneo langu inawezekana? Mimi ni mtumishi wa serikali eneo langu liko Morogoro.

Naombeni ushauri, kama inawezekana nianzie wapi?
 
Wanaweza kwa gharama mara tatu au zaidi kama ungejenga mwenyewe na fundi wako
 
Back
Top Bottom