edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,867
- 9,647
Kwahiyo kunajini grade 1Shetani Ibilis/dajjal ni miongoni mwa jini anayetoka katika koo za majini wale ambao ni Ifrit minal jinn na pia yeye ni daraja la pili kati ya majini wenye nguvu kabisa na pia ni vile hikma ya mwenyezi mungu kumuumba hapo na yeye ni miongoni mwa majini ambao wanakaa baharini bahari ya saba na wakati anashushwa alikuja kwa mwendo wa zig zag na pia hana nguvu za kuwazidi majini wote ni majini wengi wanaomzidi nguvu isipokua yeye kapewa tu uwezo wa kulaghai na kutokufa hadi kiyama kisimame
Rakims