Mwanzo wa moja ni muendelezo atakuja mwengine atauliza tena au utaulizwa; kama ibilisi ni jinni majinni wanazaa, kwa maana hiyo mantiki yake ni kwamba wanafunga ndoa.Kitu kinaweza kisiwe na maana kwako lakini kikawa na maana kubwa sana kwa mwingine.
Haya kakojoe ukalale ,usije ukachelewa kwenda shule.
Ibilisi amechukua jukumu la kupoteza kwa njia anazo ona zitafaaSasa ibilisi nae anavamia watu
Embu tutajietajie koo za majini.Ndio majini yana wazazi, yana zaliwa na yana ukoo pia.
hicho alichofanya ibilisi ni bahati nasibu au ni mpango mkakati?Ibilisi kiimani alifanya kazi kubwa sanaa...
Ya kuleta evils kwa bin adam ili tupate soul evolvement. Na vingi anavyoahidi shetan anatekeleza mfano almwambia hakika akila tunda atakuwa ka mungu.... Hii ni kweli ilitokea coz alizaa( creation).
hicho alichofanya ibilisi ni bahati nasibu au ni mpango mkakati?Ibilisi kiimani alifanya kazi kubwa sanaa...
Ya kuleta evils kwa bin adam ili tupate soul evolvement. Na vingi anavyoahidi shetan anatekeleza mfano almwambia hakika akila tunda atakuwa ka mungu.... Hii ni kweli ilitokea coz alizaa( creation).
Tuache kukariri kila habar ni kuuliza chanzoo,siyo kila kitu mtu anakopi mahali fulani.kwani wewe huwezi kuwaza na kujenga hoja kulingana na fikra zako au jambo fulani linalokutatiza .MLETA MADA ANATAKA KUPATA MWANGA KUHUSU HOJA ZAKE KM YUKO WRONG AU SAHIHI MAJIBU NI HAPAHAPA.Narekebisha kwa ufafanuzi - hicho chanzo chako umekitoa wapi? Juu ya IBILISI.
Hii topic ni ngumuIbilisi amechukua jukumu la kupoteza kwa njia anazo ona zitafaa
Ibilisi kapewa mamlaka duniani mwache ajimwae mwaeHii topic ni ngumu
kwani kwenye hiyo familia ya majini kipindi kile malaika wanatumwa kwenda kuangamiza aliyekuwa mdogo alikuwa ibilisi peke yake, kwa mfano Mungu aseme akaangamize temeke watamkuta mtoto mmoja tu !!!? pumbaNdio, malaika hawakumuua Ibilisi waliishi naye kwa kupewa idhini na Mwenyezi Mungu , Mungu asingewapa idhini basi wangemmaliza kitambo kama walivyowamaliza ndugu zake wengine.
haya maneno ni ya kupuuzwa kama auna cha kuchangia pita kimya kimyaMambo ya kijiwe cha Kingston street...
NI KATIKA MAJINI WAASI/WAOVU...KAMA TULIVYO WANADAM KUNA WEMA NA WAOVU NDIO PIA NA MAJINI WAPO WEMA NA WAOVU...JINI ANAPOMUINGIA BINADAM ANAKUWA AMEKUFURU MANA HANA RUKSA IYO.Hivi Mzee baba sasa mapepo yanayowavamia watu wao wqpo kundi gani
niapenzi yake kwetu ili na sisi tukue kirohohicho alichofanya ibilisi ni bahati nasibu au ni mpango mkakati?
Mfalme Wa mapepo ni nani na ibilisi yeye havamii watu mishe mishe zake zipoje sasa . kuna kijana alipandwa na pepo kuna jirani yetu akamwambia Mimi ndo baba ji sijui huyu baba ji ndo nani.. Hiyo ndo siku niliamini pepo wapo MTU anaongea sauti za ajabu ajabuNI KATIKA MAJINI WAASI/WAOVU...KAMA TULIVYO WANADAM KUNA WEMA NA WAOVU NDIO PIA NA MAJINI WAPO WEMA NA WAOVU...JINI ANAPOMUINGIA BINADAM ANAKUWA AMEKUFURU MANA HANA RUKSA IYO.
Shetani Ibilis/dajjal ni miongoni mwa jini anayetoka katika koo za majini wale ambao ni Ifrit minal jinn na pia yeye ni daraja la pili kati ya majini wenye nguvu kabisa na pia ni vile hikma ya mwenyezi mungu kumuumba hapo na yeye ni miongoni mwa majini ambao wanakaa baharini bahari ya saba na wakati anashushwa alikuja kwa mwendo wa zig zag na pia hana nguvu za kuwazidi majini wote ni majini wengi wanaomzidi nguvu isipokua yeye kapewa tu uwezo wa kulaghai na kutokufa hadi kiyama kisimame
hahaaa " hizi topics nyingine huwezi kuzielewa kama hautumii mihadaratiNigga pass the joint
ingekuwa uzao wake ni miongoni mwa wana wa Izrael basi tungesema umelaaniwa na pia hii imeandikwa katika vitabu kwamba msimtii shetani yeye ameangamia haijaandikwa wao wameangamia ndio hapo tunakuja kupata kujua kwamba kumbe hata watoto wake wanapofikiwa na ujumbe wapo wanaomuasi na wapo wanaomfuata kwa sababu Mwenyezi mungu katuumba kwa free wills majini na wanadamu wote tuna uhuru wa kuchagua either kumshukuru au kumkufuru mungu pia majini sio wote wanaomuona ibilis wapo wanaomuona na wengine hawamuoni ni kama tulivyowanadamu mkuuMkuu vipi kuhusu uzao wake na wenyewe pia umelaaniwa au kuna wengine watakao toka kwenye uzao wake watamtii na kumsujudia Allah?