Je, shetani/ibilisi anatoka koo zipi miongoni mwa koo za majini? Wazazi waliomzaa ni akina nani?

Ibilisi kiimani alifanya kazi kubwa sanaa...
Ya kuleta evils kwa bin adam ili tupate soul evolvement. Na vingi anavyoahidi shetan anatekeleza mfano almwambia hakika akila tunda atakuwa ka mungu.... Hii ni kweli ilitokea coz alizaa( creation).
 
Kitu kinaweza kisiwe na maana kwako lakini kikawa na maana kubwa sana kwa mwingine.

Haya kakojoe ukalale ,usije ukachelewa kwenda shule.
Mwanzo wa moja ni muendelezo atakuja mwengine atauliza tena au utaulizwa; kama ibilisi ni jinni majinni wanazaa, kwa maana hiyo mantiki yake ni kwamba wanafunga ndoa.

Aliulizwa mwana wa zuoni mmoja wa Kiislam na muulizaji maswali ya yenye hulka kama ya kwako kwa kumuuliza," ibilisi alifunga ndoa lini? Kwa sababu alimuomba Mungu awe na uzao mwingi/ wengi" Yule mwana wa zuoni akamjibu" Kwa bahati mbaya siku yake ya harusi hakunialika. Kwa hiyo, sifahamu ni lini/wakati gani alifunga ndoa". Unaling'amuaje hilo jibu?

Licha ya hayo,ni kweli mimi ni mwanafunzi kwa maana bado naendelea na elimu na ni Mfanyakazi vilevile. Na kukojoa ni mojawapo ya traits of living organism, nina furaha na hilo.

Asubuhi njema.
 
Ibilisi kiimani alifanya kazi kubwa sanaa...
Ya kuleta evils kwa bin adam ili tupate soul evolvement. Na vingi anavyoahidi shetan anatekeleza mfano almwambia hakika akila tunda atakuwa ka mungu.... Hii ni kweli ilitokea coz alizaa( creation).
hicho alichofanya ibilisi ni bahati nasibu au ni mpango mkakati?
 
Ibilisi kiimani alifanya kazi kubwa sanaa...
Ya kuleta evils kwa bin adam ili tupate soul evolvement. Na vingi anavyoahidi shetan anatekeleza mfano almwambia hakika akila tunda atakuwa ka mungu.... Hii ni kweli ilitokea coz alizaa( creation).
hicho alichofanya ibilisi ni bahati nasibu au ni mpango mkakati?
 
Narekebisha kwa ufafanuzi - hicho chanzo chako umekitoa wapi? Juu ya IBILISI.
Tuache kukariri kila habar ni kuuliza chanzoo,siyo kila kitu mtu anakopi mahali fulani.kwani wewe huwezi kuwaza na kujenga hoja kulingana na fikra zako au jambo fulani linalokutatiza .MLETA MADA ANATAKA KUPATA MWANGA KUHUSU HOJA ZAKE KM YUKO WRONG AU SAHIHI MAJIBU NI HAPAHAPA.
 
Ndio, malaika hawakumuua Ibilisi waliishi naye kwa kupewa idhini na Mwenyezi Mungu , Mungu asingewapa idhini basi wangemmaliza kitambo kama walivyowamaliza ndugu zake wengine.
kwani kwenye hiyo familia ya majini kipindi kile malaika wanatumwa kwenda kuangamiza aliyekuwa mdogo alikuwa ibilisi peke yake, kwa mfano Mungu aseme akaangamize temeke watamkuta mtoto mmoja tu !!!? pumba
 
NI KATIKA MAJINI WAASI/WAOVU...KAMA TULIVYO WANADAM KUNA WEMA NA WAOVU NDIO PIA NA MAJINI WAPO WEMA NA WAOVU...JINI ANAPOMUINGIA BINADAM ANAKUWA AMEKUFURU MANA HANA RUKSA IYO.
Mfalme Wa mapepo ni nani na ibilisi yeye havamii watu mishe mishe zake zipoje sasa . kuna kijana alipandwa na pepo kuna jirani yetu akamwambia Mimi ndo baba ji sijui huyu baba ji ndo nani.. Hiyo ndo siku niliamini pepo wapo MTU anaongea sauti za ajabu ajabu
 
Shetani Ibilis/dajjal ni miongoni mwa jini anayetoka katika koo za majini wale ambao ni Ifrit minal jinn na pia yeye ni daraja la pili kati ya majini wenye nguvu kabisa na pia ni vile hikma ya mwenyezi mungu kumuumba hapo na yeye ni miongoni mwa majini ambao wanakaa baharini bahari ya saba na wakati anashushwa alikuja kwa mwendo wa zig zag na pia hana nguvu za kuwazidi majini wote ni majini wengi wanaomzidi nguvu isipokua yeye kapewa tu uwezo wa kulaghai na kutokufa hadi kiyama kisimame

Rakims
 
Mkuu vipi kuhusu uzao wake na wenyewe pia umelaaniwa au kuna wengine watakao toka kwenye uzao wake watamtii na kumsujudia Allah?
ingekuwa uzao wake ni miongoni mwa wana wa Izrael basi tungesema umelaaniwa na pia hii imeandikwa katika vitabu kwamba msimtii shetani yeye ameangamia haijaandikwa wao wameangamia ndio hapo tunakuja kupata kujua kwamba kumbe hata watoto wake wanapofikiwa na ujumbe wapo wanaomuasi na wapo wanaomfuata kwa sababu Mwenyezi mungu katuumba kwa free wills majini na wanadamu wote tuna uhuru wa kuchagua either kumshukuru au kumkufuru mungu pia majini sio wote wanaomuona ibilis wapo wanaomuona na wengine hawamuoni ni kama tulivyowanadamu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom