Je, Shetani & Ibilisi anahusikaje kwenye vitendo vya Magicians (Wanamazingaombwe)?

Nimesoma comments zenu nacheka Sana'a,labda nisene tu binadamu bado hajaweza kuutumia uwezo wake wrote kwa asilimia100% ,wengi wetu tunatumia 20% tu basi tumeridhika ndo maana tukiona MTU ambae anatumia almost 65% and so on tunashanga,nilikuwa China nikawa naona jamaa kwenye mafunzo ya martial arts kwenye Dong moja hivi nilishuhudia kwa macho yangu jamaa akizuia mkuki kwa kutumia meno , pili jamaa moja ana paa kama vile wanavyonyaga kwenye movie,mwingine ambae ndo aliniacha hoi kabisaaa aikuwa anakimbia kasi kubwa Sana'a juu maji kama mitaa 60 hivi bila kuzamaa aise.hiyo haikuwa magici ilikuwa ni mazoezi tu ya kawaida ila hufanyika ndani ya ukumbi mkubwa .
 
Mazoezi tu????????
 
Ni kwamba kuna watu wanaamini au wanadai ya kuwa hakunaga uchawi na ndiyo maana linapokuja suala la magic kuwa na nguvu za ziada hujikuta kupinga kwa kusimamia misimamo yao ya kutokuwepo uchawi na hapo ndipo tatizo linapoanza,

Siku wakipigwa kimbola wataamini
 
Trick kama hio ya kuweka sarafu ndani ya chupa haihitaji uchawi wowote.
Mfano mwingine kuingiza kalamu kwenye pua alafu kuitolea mdomoni au kupitia sikio moja itokee sikio lingine!

Ni vitu vya kawaida ambavyo mtu yeyote anaweza kuvifanya, akijifunza. Kuna vipindi vingi sana vya "How it's done." wanaonyesha haya mambo... Angalia hata muvi ya DHOOM 3[Indian]. Mule wameonyesha vizuri.

Kitu kingine kinachonishangaza kwanini hatuamini kuwa Mungu anagawa talents.

Kila mtu anaefanikiwa watu wana conclude shetani amehusika. Shida ni nini?? Mungu huwa haruhusu mambo mazuri kwa watu.... As far as i understand ugawaji wa vipaji ni jukumu la Mungu na hayo mazingaombwe huwa ni tricks tu zinazohitaji mtu aweke umakini wa hali ya juu kuona kinachofanyika.
Kiufupi hakuna uchawi kwenye mazingaombwe!
 
Daah
 
Asante kwa hoja yako. Nahisi ina uhai ndani yake ila iweke vizuri zaidi kwenye sehemu hizi:
1. Tofautisha kati ya talanta ya magics kutoka kwa Mungu na ile kutoka kwa Shetani.
2. Ungeweka na mifano ya Magicians au Illusionists wenye talanta kutoka kwa Mungu.
3. Nitajuaje kama hii ni talanta kutoka kwa Mungu na hii ni kutoka kwa Shetani?
Asante sana mkuu........
Nipo
 
Ndio maana wazee wetu walikua wanaita na kuiamin Miungu yao, Lakin kizaz cha leo tunaamin sana dini ambazo nazo tumeletewa na colonialism bt no way wacha watufanye wanavyotaka......
 
Hawa wa huku kwetu TBT P/School walikua wanageuza vijiti kuwa kalamu ama rula,

Ila eti ukigeuzia ndala,viatu unaweza kuona yafanyikayo nje ya pazia.
Ila isitokee akakuona kuwa unafuatilia ndo mwisho wako
 
Nilikuwa naenjoy sana Hawa jamaa
 
Ndio maana wazee wetu walikua wanaita na kuiamin Miungu yao, Lakin kizaz cha leo tunaamin sana dini ambazo nazo tumeletewa na colonialism bt no way wacha watufanye wanavyotaka......
Still mpaka leo ni tatizo kubwa sana kwa Waafrika wengi mkuu
 
Hii ni taaluma kama taaluma nyingine pia mbona wenzetu vyuo vyao vinatoa course za magician
 
Ni kweli ila itapendeza sana kama nikikupa background ya Vyuo hivyo na baadhi ya Wahadhiri wake...
 
Hebu nipe mzee niongeze maarifa
Kwa ajili yako ngoja nikupe Maarifa tu mkuu. Dunia ina mambo ya ajabu sana, wakati wanaigiza filamu pamoja na miendelezo ya filamu za Harry Potter kuanzia zile Harry Potter And Half Blood Princes, Harry Potter And Secret Chamber na zingine, watu pamoja na dunia zilibaki na Dhana kuwa magic haifundishi mubashara.
Kwa faida ya Jf nitaelezea Chuo kimoja kinachotoa elimu hii kinangananga.
Grey Schools of Wizardry ni chuo kinachofundisha kila mbinu ya kufanya magic pamoja na kufanya suppressing za spells (ndumba). Kilianzishwa na Bwana mmoja anayeitwa Oberon Zell Ravenheart ambaye pia ni mwanzilishi wa dini ya Makanisa ya Dunia yote (Church of All Worlds). Niko ndo chuo kikubwa kinachotambulika kutoka elimu ya Magics. Hapa kunafundishwa zaidi ya madarasa 450 kwenye idara zaidi ya 16. Mtu akimaliza elimu hupata tunzo ya kuitwa Journeyman Wizards. Kumaanisha kuwa amefuzu mafunzo ya chuo. Lakini chuo hiki hutoa mafunzo ya muda mfupi yaan short trainings kwa wale world top magicians pamoja na upcoming kwenye sophisticated models of magics....
Ngoja niishie hapa mkuu...
Nipo....
 
Back
Top Bottom