Je, sheria ya takwimu inambana mwananchi kutoa taarifa kwa karani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, sheria ya takwimu inambana mwananchi kutoa taarifa kwa karani?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mphamvu, Aug 24, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Naona kuna zengwe jingi na mikwara kibao, baina ya watawala na kundi fulani la kijamii kuhusu kuhesabiwa na kutohesabiwa.
  Naombeni ufafanuzi wadau, kuhusu sheria ya takwimu ya mwaka 2002, kama imetamka adhabu yoyote kwa mtu atakaegoma kutoa taarifa zake kwa karani wa sensa.
   
Loading...