Je, sheria inasemaje kuhusu raia kujitwalia madaraka na kuunda tume huru za uchunguzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, sheria inasemaje kuhusu raia kujitwalia madaraka na kuunda tume huru za uchunguzi?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Rich Dad, Jul 16, 2012.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wataalamu wa sheria naombeni muongozo wenu, maana tumeshapoteza imani na Bunge, Jeshi la polisi pamoja na mwenendo wa mahakama juu ya masuala mbalimbali. Je raia wenye nia njema wakiamua kujiundia tume huru ya kuchunguza suala la Dr. Ulimboka, itakuwa ni kosa kisheria?
   
Loading...