Je Serikali Yetu Credibility ya Kuingia mkataba au manunuzi kwa niaba Yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Serikali Yetu Credibility ya Kuingia mkataba au manunuzi kwa niaba Yetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, Jan 27, 2011.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Kufuatia mlongongo wa kashfa za mikataba na manunizi isiyo natija naomba bunge linalokutana February liazimie ya kwamba Serikali isiingie au kufanya maamuzi yoyote bila kuhusisha kamati za Bunge iwe ya fedha, au ya madini au ya mashirika ya umma nk nk kufuatana na kitu kinacho shughulikwa kwa wakati
   
Loading...