Je, Serikali ya Tanzania inaweza kuamua kama Serikali ya Urusi kuhusu mtandao wa Telegram

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Kuna taarifa kuwa Serikali ya Putin (Urusi) kupitia kwa Jaji mmoja wa Mahakama Kuu kuamuru mtandao wa Telegram kutoa taarifa za watumiaji wa mtandao huo kwa mamlaka za usalama za serikali kifunye na hivyo utafungiwa kutoa huduma hiyo nchini Urusi.

A Moscow court ordered telecommunications companies to block Telegram in Russia after the chat app refused to grant intelligence authorities access to users’ encrypted messages, in a blow to the company just weeks after it raised $ 1.7 million from investors.

Telegram Group Inc., run by its Russian founder Pavel Durov, failed to comply with local legislation, according to the ruling Friday by Tagansky court judge Yuliya Smolina that granted a request by Russian communications regulator Roskomnadzor to restrict user access with immediate effect. The decision can be appealed within 30 days.
 
Inaweza kuamua kwenye Mic tu au kwenye press conference, ila kivitendo bado mno, labda hadi muujiza jiwe atakapoenda kusimamia malaika huko mbinguni utokee
 
Wenye hiyo kampuni si washiriki wa Putin, la sivyo asingeguswa. Jamaa kazaliwa bahati mbaya Ulaya, alitakiwa awe huku kwetu.
 
Hivi u ajua telegram ilianzishwa na mrusi?
Badala ya kuiambia serikali yako iige technology wewe unaishauri uharo
 
Haina maana kama hakuna sheria iliovunja zaidi ni ukandamizaji wa huru wa kupata habari na kutoa habari ila ikivunjwa Sheria mf kuwepo taarifa za Uongo na kutishia Usalama wa Nchi mhusika ndie anatakiwa awajibike ila Maoni yasiwe kumdhalilisha mwenzako au kukiuka maadili ya taalum ya uandishi
 
Back
Top Bottom