Je serikali ya sasa ina sera ya kutenga ardhi na kugawa kwa wananchi wanaohitaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je serikali ya sasa ina sera ya kutenga ardhi na kugawa kwa wananchi wanaohitaji?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MPadmire, Jan 20, 2010.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,633
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Sera ya ardhi na kilimo kwanza ikoje?

  Imepinda au imenyooka?

  Serikali ya sasa ina mpango wa kutenga ardhi yenye rutuba na kugawa kwa wananchi wanaohitaji au ardhi wanatenga kwa ajili ya wawekezaji tuuu?

  Pamoja na serikali kuja na mkakati wa kilimo kwanza, je ardhi vipi kwa watanzania walio wengi au ardhi ni kwa wawekezaji tuu?

  Vyama vya uoinzani vina sera gani ya kilimo??

  Chama kipi cha upinzaji kina sera ya kuwakomboa watanzania?

  Sera gani au mpango wa ardhi kutengwa na kugawa kwa wananchi, ni chama gani kinasera ya ukombozi?
   
Loading...