majata
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 431
- 179
wajumbe nimetoka kuangalia video ya maafa ya meli, ukweli nimeumia sana na wasiwasi wangu umeongezeka sana kuhusu ajali hizi zinazosababishwa na uzembe wa serikali kupitia mamlaka zake, hivi serikali ya muungano haihusiki ktk hili? Naomba mheshimiwa mbunge yeyote mjumbe wa jf aianzishe hii kitu bungeni isipite hivihivi tafadhali sana.