Tumeona nchini Kenya yule aliyemuapisha Odinga amekuwa ‘deported’ kurudi Canada kwa kuwa alikuwa na uraia pia wa Canada, kwa lugha nyingine amenyang’anywa uraia wa Kenya (sina uhakika).
Swali langu la kisheria, Je kwa sheria za Uhamiaji, serikali inaweza kumnyang’anya au kui’freeze au kuifuta passport ya raia wake yoyote? Kama ndivyo nadhani hii itakuwa njia rahisi ya ku’deal na watu wanaoleta shida kwenye mitandao walio nje ya nchi. Hii itamaanisha kwamba atazimika kuomba upya passport au kurudi nchini....
Tusaidieni wanasheria!