Je, Serikali imedanganya Umma? Wako wapi wenye vyeti feki waliorejeshwa kazini au kulipwa mafao yao?

Acha upimbi wewe,vyeti feki hawezi kulipwa mafao wala kurudishwa kazini.

Waliolipwa mafao ni wale la saba ambao hawakuweza kupata sifa za kurejeshwa kazini na waliorejeshwa kazini ni wale la saba waliojiendeleza na kupata cheti cha form 4..

Acha upotoshaji na kukurupuka.
Walijiendeleza lini ?
 
Mbona kuna watu wameshapokea barua za kurejeshwa kazini..? Na wengine walishafungua mafao wanasubiri tu malipo yao, au hatufatilii wanandugu...?
ni akina nani ? ulichoandika ndicho kinachosemwa na ndio tunachokitilia mashaka
 
Ni vema tukakemea siasa za kishamba na za uongo zinazotaka kuhuishwa nchini mwetu , ikiwa kama kulikuwa na orodha ya wazi kabisa ya wenye vyeti feki Magazetini na kwenye vyombo vingine vya habari nchi nzima, kuna shida gani leo kuorodhesha majina ya wale wanaosemekana walirejeshwa makazini na wale waliolipwa mafao waliyodhulumiwa?

Ni aibu sana uongo mkubwa kama huu kusimamiwa na serikali , tena kupitia kwa Waziri wa Utawala bora , kulikuwa na haja gani ya kudanganya, mbona watanzania walisharidhika na siasa za mwendazake hadi wakamchagua tena kwa karibu 100% kwenye uchaguzi wa 2020?
Mkuu

Serikali hii ni waongo, walaghai na dhulumati wakubwa. Hakuna mtu yeyote mwenye cheti feki aliyerejeshwa labda ndugu wa hao walioutangazia umma. Uhakika ni kwamba kuna dereva alikuwa anafanya kazi katika wilaya mojawapo Morogoro aliondolewa kazini baada ya kukosa cheti cha kidato cha nne alichodaia yeye ana elimu hiyo. Dereva huyo ni mtoto wa kigogo aliyetumikia jeshi lakini anakiri haukuwa na cheti kwa kuwa hapo nyuma kati ya 2007-2014 kulikuwa hakuna utaratibu wa kukagua na kuthibitisha uwepo wa cheti husika ndio maana iliwezekana kipindi hicho. Mpaka sasa anakiri hana cheti cha kidato cha nne na hata cha shule ya msingi ilibidi aanze kufuatilia mwaka 2019 akapata.

Madudu madudu madudu na yataendelea kwa sasa bila hofu kwa kuwa hakuna ukaguzi wamekalia visasi dhidi ya wakosoaji wao.
 
Serikali ya Samia na Ccm baada ya kuona kila kitu haiwezi imeamua kuishi kwa uongo na danganya toto.
 
Mkuu

Serikali hii ni waongo, walaghai na dhulumati wakubwa. Hakuna mtu yeyote mwenye cheti feki aliyerejeshwa labda ndugu wa hao walioutangazia umma. Uhakika ni kwamba kuna dereva alikuwa anafanya kazi katika wilaya mojawapo Morogoro aliondolewa kazini baada ya kukosa cheti cha kidato cha nne alichodaia yeye ana elimu hiyo. Dereva huyo ni mtoto wa kigogo aliyetumikia jeshi lakini anakiri haukuwa na cheti kwa kuwa hapo nyuma kati ya 2007-2014 kulikuwa hakuna utaratibu wa kukagua na kuthibitisha uwepo wa cheti husika ndio maana iliwezekana kipindi hicho. Mpaka sasa anakiri hana cheti cha kidato cha nne na hata cha shule ya msingi ilibidi aanze kufuatilia mwaka 2019 akapata.

Madudu madudu madudu na yataendelea kwa sasa bila hofu kwa kuwa hakuna ukaguzi wamekalia visasi dhidi ya wakosoaji wao.
Msitarajie jambo lolote la maana kutoka kwa ccm gang
 
Jibu safi kabisa.
Serikali haikusema wenye vyeti feki warudishwe kazini kama haujaelewa uliza kilichosemwa ni wale watumishi ambao waliondelewa pamoja na wenye vyeti feki kwa sababu walishindwa kujiendeleza kimasomo kulingana na government order ya mwaka 2004 ilivyoagiza.

Narudia tena wanaorudishwa kazini ni wale walioshindwa kujiendeleza kimasomo na kuondolewa kazini kwa kukosa cheti cha kidato cha NNE .Hakuna mwenye cheti feki atakayerudi kazini, kutumia cheti feki ni kosa la jinai.
 
🐒🐒🐒
cHi.jpg
109_20210706_190119.jpg
c-1.jpg
AIWU7u.jpg
htB.jpg
rq-1.jpg
imgvfdage12.png
tapatalk_1588515803091.png
BX.jpg
etX.jpg
gQs.jpg
 
Ni vema tukakemea siasa za kishamba na za uongo zinazotaka kuhuishwa nchini mwetu , ikiwa kama kulikuwa na orodha ya wazi kabisa ya wenye vyeti feki Magazetini na kwenye vyombo vingine vya habari nchi nzima, kuna shida gani leo kuorodhesha majina ya wale wanaosemekana walirejeshwa makazini na wale waliolipwa mafao waliyodhulumiwa?

Ni aibu sana uongo mkubwa kama huu kusimamiwa na serikali , tena kupitia kwa Waziri wa Utawala bora , kulikuwa na haja gani ya kudanganya, mbona watanzania walisharidhika na siasa za mwendazake hadi wakamchagua tena kwa karibu 100% kwenye uchaguzi wa 2020?
Usisiikilize porojo hakuna cheti feki atakayerudi. Kuna watu wachache waliajiriwa kwa sifa za elumu ya msingi kwa programme za elimu ya upe kitu kama hicho ikakosewa wakawa wamewekwa kwenye fungu la cheti feki. Kwa ufupi ni marekebisho tu kuwatendea haki inayostahili. Cheti feki hakuna justification yoyote kurudi. Waende wakafie huko. Badala ya kushukuru hawajafungwa wanajidai eti wameonewa fisadi wahed. Na ndio kundi linaongoza kumcukia magufuli.
Cheti feki wamesababisha madhara yasiyokua na kipimo kwenye jamii yetu.
 
Back
Top Bottom