Je sasa ni muda muafaka kwa kampeni za Urais 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je sasa ni muda muafaka kwa kampeni za Urais 2015?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmaroroi, Mar 29, 2011.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna tetesi kuwa mnyukano kati ya UVCCM na viongozi wastaafu wa CCM ni agenda ya Urais wa 2015, je hii ni kweli? Na kwamba Rais ndiye anayemjua Rais ajaye ni sahihi? Kwanini viongozi wetu hawajikiti kutekeleza sera walizoahidi na kuacha malumbano? Viongozi sasa wameshupalia kwa babu na malumbano, je hii ni ishara kuwa sera walizahidi hazitekelezeki?
   
Loading...