Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Kutakuwa na faida au hasara gani endapo wanafunzi hasa wa shule za msingi na sekondari kuondolewa kuvaa sare kwenye shule za umma?
umeshaona wp hizo uniform zimeondolewa?
Good one MkuuSwali juu ya swali, Marekani kwenye public schools hawavai yunifomu. To be more specific to your question the answer is "Italy"
Kutakuwa na faida au hasara gani endapo wanafunzi hasa wa shule za msingi na sekondari kuondolewa kuvaa sare kwenye shule za umma?