Je, Samia Suluhu hajui kuzima MIC za Urusi? Putin ainglia kati kumsaidia

Je, Samia Suluhu hajui kuzima MIC za Urusi? Putin ainglia kati kumsaidia

Huyu mama asingekua Mwanasiasa inaonekana angekua mtu mmoja innocent sana... japo simpendi ninavyomuona ni system tu imebadilisha but naturally anaonekana hana roho mbaya kihivyo... cheki hyo sura yake japo mm sio mungu nimefikiria mara mbili.
Kiujazo mtu moyoni ndo ukifanya. Kwa katiba ya sasa hivi ina mpa madaraka makubwa sana raisi. Sasa kama ni innocent anashindwa nini kutumia madaraka makubwa aliyopewa kuonesha umma kuwa yeye yuko clean. Usidanganyike na sura mkuu
 
Kinachokusumbua wewe ni chuki dhidi ya samia,kumbuka rais ni binadamu kama ulivyo wewe,sio ajabu kushindwa kuzima mic tena zilizoandikwa kirusi,cha ajabu kipi?
Ndiyo maana yake...

Ni kweli Samia ni binadamu na ametutaarifu kuhusu ubinadamu wake wa "kujisahau kuzima mic😀..."

Kwanini wewe unaupeleka kwenye chuki...?

Ingekuwa kila mtu ana fikra kama zako, basi magazeti, TV, vituo vya redio, social media na news media zingine zisingekuwa na cha kuandika/kuripoti kwa kuwa zingeogopa kuandika "udhaifu wa wanadamu🤔‼️"

Ndugu, Jitahidi sana kudhibiti udhaifu wako usijue kujikuta umekuwa exposed...;!
 
Yule Samia wenu kaonekana akizunguka Ukumbini na receiver ya tafsiri ya lugha kila sehemu hata mic hakuzima. Putin akaingilia kati, kamwambia siri zako zitasikika, zima mic namna hii. Vitu vidogo tu unashindwa kujifanyia hadi ufanyiwe? Kidogo akate waya wa Watu🤣🤣

Katia aibu sana
View attachment 3602719
Ushamba umemjaa huyu muuaji
 
Back
Top Bottom