Je, Samia ni Rais kivuli kama inavyodaiwa na vyombo vya habari vya nje?

Huyu si Rais wala kiongozi wa nchi. Huyu ni kivuli tu lakini command ya uongozi wa nchi inafanywa na watu wengine kabisa...

Lakini tusishangae sana kwa haya kutokea. Kwa sababu Rais Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa kwanza mwanamke na wa mwisho toka CCM kuongoza Tanzania...

Huyu ndiye alama ya mwisho ya utawala na siasa za CCM Tanzania...
Natumaini ni kweli. Tushaichoka CCM. Sasa hao wanaoongoza nchi kwa mgongo wa Samia watakubali kuachia madaraka kirahisi?

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Ila Mabeyo si ndio alisaidia kumiweka hapo. Pia, unataka sema hao wakuu wa vyombo bya usalama ndio wanaendesha nchi? Hamna anaewaamuru nyuma yao? Kwanini Samia asiachie ngazi kama yamemshinda?

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Mabeyo kwa kushirikiana na Simon Sirro walifanya haraka kumuweka madarakani mama samia for their own interest, Na waamini ya kwamba kifo cha Mwendazake, viongozi wa juu wanafahamu chanzo chake kwani si kweli alifariki kwa ugonjwa uliotajwa kama chanzo chake cha kifo, It's Big No, mwendazake alikatishwa uhai wake na kinachofanywa sasa ni kutaka kulipiza Kwa yaliyotokea wa bosi wao, Afya ya Mbowe itadhoofishwa makusudi kabisa
 
We' jamaa, fara sana! Kwa akili yako ilivyo, unajua magereza ni kwa ajili ya watu fulani tu? Hata Sabaya hakutegemea kuwa huko aliko leo! Ulikuwa mstari wa mbele kuimba "MITANO TENA"! Kilichotokea, ulitarajia?
Kila mtu atapata show kubwa kubwa tuu, kila mtu anakula doze yake
 
Dah! Nakuhurumia wewe unaedhani mi ni ccm. Niliwahi kuwa mwanasiasa nikimpenda lipumba kipindi alichokua naakili chini yake akiwemo tabwe hiza
Dah masikini Wala huoni mbele.
Hujui Nini kinaenda kutokea.
Ama kweli wafuasi wa CCM 98% Ni wajinga na ndio mtaji wa CCM.
Pole Sana.
Subiri utajua hujui.
 
Hiyo ndiyo hali halisi...

Shetani kwa sasa ana hasira sana. Anajua mwisho wake u karibu, in fact umeshafika...

Hawezi kukubali kuondoka peke yake. Atahukumiwa sawiwa, lakini lazima aumize na kudhalilisha baadhi ya watu...

Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Yesu Kristo akiendesha harakati zake za kuukomboa ulimwengu toka mikononi mwa ibilisi...

Mawakala wa ibilisi/shetani walikuwa ni watawala wa kisiasa na serikali. Walielewa kabisa kuwa, huyu bwana (Yesu Kristo) alikuwa ankwenda kuwaangusha wao na utawala wao. Hawakukubali wafe peke yao. Walitaka wafe nae. Wakasuka mipango ya kumuua kwa kutunga makosa ya uongo yq ugaidi na uhaini. Wakafanikiwa. Wakamuhukumu kifo. Lakini hawakujua kuwa kwa njia ya kifo chake walichokitengeneza mwenyewe, ndiyo ukombozi na ushindi ungepatikana...

Ndivyo ilivyo leo

Kuwa, serikali hii iliyokuwa chini ya Mwendazake John P. Magufuli na sasa kampasia mpira huyu mwanamke na chama kinachoingoza (CCM) ni purely wakala (agent) na alama halisi ya shetani na kinajua kinakwenda kupotea...
Duh. Dini thoery vs scientific facts unakosea brother
 
Nikiwa kama SUKUMA GANG,ninasema hivii MPAMBANE NA HALI ZENU,Msoga/CDM/wanaharakati uchwara wazee wa mama anaupiga mwingi.Endeleeni na sinema zenu za kufuta legacy.

Ila tunawakumbusha tu, JPM was a president na nusu.

Kwa Sasa nchi ipo mikononi mwenu, hausiki hata chembe na sisi Sukuma gang hatuna chama,hatumsupport yeyote maana wote nyinyi kuanzia kina Gambo, Mwigulu, Dialo n.k mmeshiriki kumtusi mpaka Basi.

Ila Karma is a bitch,Ukizoea kula nyama ya mtu hutoacha na mbona mmeanza kushikiana visu mapema?
EeeenHeee,

Mambo ni mazito, kwa sababu yanahusu hatma ya Tanzania yetu, vinginevyo tungesema 'movie' na iendeleee!

Hata mimi ningesema "Ila tunawakumbusha tu, JPM was a president na nusu"; ..., tena ningeyatamka maneno hayo kwa furaha kubwa kabisa kuyaunga mkono, kama Magufuli asingekuwa na yale makandondokando mabovu kabisa yaliyoharibu kila kitu chema alichokuwa anataka kukifanyia taifa hili.
Ni Magufuli pekee ndiye angeweza kuirekebisha CCM kutoka huko shimoni ilikoangukia nha kuirudisha kwenye mstari bila ya mtu yeyote ndani ya chama kuguna, lakini udhaifu wake haukumruhusu kufanya hivyo.

Haya tunayoyashuhudia sasa hivi ni matokeo ya baadhi ya hayo yaliyomshinda kuyafanya.
Kwa hiyo, huo "...JPM kuwa president, and a half", is simply a myth!
 
Jarida la The African Intelligence liliripoti wiki iliyopita kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete ndio mshauri mkuu asiye rasmi wa Rais Samia na anatumia ushawishi wake kusukuma agenda za uongozi wake zilizopigwa chini na Magufuli kama mradi wa Bagamoyo.

Jarida lengine la the Africa Report liligusia habari hii na kujaribu kuchambua kama Rais Samia ni Rais au kivuli cha Rais mstaafu Kikwete. Jaridi hili limetumia vyanzo vyao vya siri ambao vimewaeleza kuwa Kikwete amekua na ushawishi kwa Samia hususani kwenye maswala ya jumuiya ya kimataifa na Covid-19.

The Economist Intelligence Unit pia hivi karibuni liliripoti kuwa kuna watu ndani ya CCM, na baadhi ya vyombo vya usalama ndivyo vinaongoza nchi na Samia ni kama Rais mbele za watu, ila hana nguvu ya kufanya maamuzi yenye "substance".

Jana CNN walicover story ya Mbowe kupewa kesi ya Ugaidi. Mmoja wa wachambuzi (ambae alikuwa mmoja ya watu wa mwanzoni kabisa kutoa taarifa ya Magufuli kuumwa) alitabainisha mambo mawili.

1. Yaweza kuwa Samia ni kweli kabadilika na anataka kuonyesha nguvu yake kama Rais kwa kutumia mbinu za kidikteta za Magufuli.

2. Yawezekana watiifu wa serikali ya Magufuli wamegomea mabadiliko Samia anayotaka kufanya na wanapush back. Akasema Samia anaweza kuwa ameshindwa kucontrol serikali yake na viemelea vya serikali ya JPM kwenye usalama, chama na jeshi vinaendesha nchi.

Kuna baadhi ya viongozi kama Zitto Kabqe na Fatma Karume walishaanza kuona dalili za Rais kuendeshwa toka mwanzoni.

Soma hii habari

Hizi tuhuma zinafikirisha sana. Je nani anaendesha nchi? Tuna Rais kivuli? Kama ni kweli Samia anakubalije jina lake lichafuliwe? Kama ni kweli maamuzi hafanyi yy kwanini asiachie ngazi?

Tusubiri tuone tunaelekea wapi.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Mkuu no2 no sawa 100℅

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Nikiwa kama SUKUMA GANG,ninasema hivii MPAMBANE NA HALI ZENU,Msoga/CDM/wanaharakati uchwara wazee wa mama anaupiga mwingi.Endeleeni na sinema zenu za kufuta legacy.

Ila tunawakumbusha tu, JPM was a president na nusu.

Kwa Sasa nchi ipo mikononi mwenu, hausiki hata chembe na sisi Sukuma gang hatuna chama,hatumsupport yeyote maana wote nyinyi kuanzia kina Gambo, Mwigulu, Dialo n.k mmeshiriki kumtusi mpaka Basi.

Ila Karma is a bitch,Ukizoea kula nyama ya mtu hutoacha na mbona mmeanza kushikiana visu mapema?
Dialo alimaliza mjadala kuhusu jiwe, usitake tufufue mjadala tuonekane tunadharau wazee waliojidharau wenyewe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huu ni uzushi,hapa ushike la JK,Samia au Pro Magufuli?

Hakuna Rais mjinga hata siku moja just kama ilivyokuwa kwa Rais wa Angola na DR Congo kukataa kuwa vivuli wa watangulizi wao.

JK mna msingizia yuko nje ya uongozi hawezi kuwa na ushawishi kihivyo japo ndipo sehemu pekee mama Rais anaweza omba ushauri.

Ni suala tuu la mda mama atapanga safu yake ila kwa mda huu mfupi lazima apate shida kidogo ila atawatoa hao wote kadiri mda unavyoenda.
 
Kishaporwa Ikulu na Axis of Evil Mwigulu Nchemba, Majaliwa, Mpango, Ndugulile na Ndugai ili waendelee kumuenzi dhalimu mwendazake. Angalia huyo mwigulu alivyovurunda kwenye bajeti lakini anahofia kumpiga chini.

Jarida la The African Intelligence liliripoti wiki iliyopita kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete ndio mshauri mkuu asiye rasmi wa Rais Samia na anatumia ushawishi wake kusukuma agenda za uongozi wake zilizopigwa chini na Magufuli kama mradi wa Bagamoyo.

Jarida lengine la the Africa Report liligusia habari hii na kujaribu kuchambua kama Rais Samia ni Rais au kivuli cha Rais mstaafu Kikwete. Jaridi hili limetumia vyanzo vyao vya siri ambao vimewaeleza kuwa Kikwete amekua na ushawishi kwa Samia hususani kwenye maswala ya jumuiya ya kimataifa na Covid-19.

The Economist Intelligence Unit pia hivi karibuni liliripoti kuwa kuna watu ndani ya CCM, na baadhi ya vyombo vya usalama ndivyo vinaongoza nchi na Samia ni kama Rais mbele za watu, ila hana nguvu ya kufanya maamuzi yenye "substance".

Jana CNN walicover story ya Mbowe kupewa kesi ya Ugaidi. Mmoja wa wachambuzi (ambae alikuwa mmoja ya watu wa mwanzoni kabisa kutoa taarifa ya Magufuli kuumwa) alitabainisha mambo mawili.

1. Yaweza kuwa Samia ni kweli kabadilika na anataka kuonyesha nguvu yake kama Rais kwa kutumia mbinu za kidikteta za Magufuli.

2. Yawezekana watiifu wa serikali ya Magufuli wamegomea mabadiliko Samia anayotaka kufanya na wanapush back. Akasema Samia anaweza kuwa ameshindwa kucontrol serikali yake na viemelea vya serikali ya JPM kwenye usalama, chama na jeshi vinaendesha nchi.

Kuna baadhi ya viongozi kama Zitto Kabqe na Fatma Karume walishaanza kuona dalili za Rais kuendeshwa toka mwanzoni.

Soma hii habari

Hizi tuhuma zinafikirisha sana. Je nani anaendesha nchi? Tuna Rais kivuli? Kama ni kweli Samia anakubalije jina lake lichafuliwe? Kama ni kweli maamuzi hafanyi yy kwanini asiachie ngazi?

Tusubiri tuone tunaelekea wapi.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Sina namna ya kukusaidia ili uone CCM itakapolazwa chini kuashiria mwisho wa utawala wa siasa za kiCCM...

Wewe uko Kundi la kuona kisha ndipo uamini. Sikulaumu. Subiri uone, kisha ndipo uamini....

Wenzako sisi tumeshaona kwa njia ya kuamini kwa kutazama hali halisi na mazingira yenye viashiria vyote vya kifo cha CCM...

Tutaonana huko mbeleni ukibaikiwa kufika...
Maneno yako yamezoeleka humu jukwaani ni wale wale mashujaa wa nyuma ya keyboard.

Wanaharakati wa ndani ya vyumba. CCM imejijenga tangu 1977 sio Chama chepesi Kinajua mbinu safi na chafu ni kikongwe.
 
Hujui lolote ndugu.
Ningekuambia mengi lakini siwezi kumwaga mtama.

Magufuli kafa na kila kitu chake kimekufa.hana alicho acha,hakua na mtandao wala hicho unachoita kivuli.
Angekua Ana kivuli asingekufa kizembe vile.
Rais hafi vile bana.
Wewe ndio hujui uliandikalo. Mtu aliyeishi na chombo karibu na moyo kwa zaidi ya miaka kumi hawezi kuwa amekufa kizembe.

Magufuli ndio aliyemjenga Samia mpaka kufika alipofika.
 
Maneno yako yamezoeleka humu jukwaani ni wale wale mashujaa wa nyuma ya keyboard.

Wanaharakati wa ndani ya vyumba. CCM imejijenga tangu 1977 sio Chama chepesi Kinajua mbinu safi na chafu ni kikongwe.
Siyo kweli kuwa umeyazoea...

Tuliwaambia hata wakati wa Mwendazake Magufuli. Tuluwaambia hatafika mbali huyu kwa tabia na mwenendo wake...

Yuko wapi?

Mwisho wa Magufuli ni indicator ya mwisho ya utawala na siasa za CCM Tanzania...

Samia Suluhu anakwenda kuhitumisha anguko hili. Kwanini huwezi kuona hili Bukililo?
 
Jarida la The African Intelligence liliripoti wiki iliyopita kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete ndio mshauri mkuu asiye rasmi wa Rais Samia na anatumia ushawishi wake kusukuma agenda za uongozi wake zilizopigwa chini na Magufuli kama mradi wa Bagamoyo.

Jarida lengine la the Africa Report liligusia habari hii na kujaribu kuchambua kama Rais Samia ni Rais au kivuli cha Rais mstaafu Kikwete. Jaridi hili limetumia vyanzo vyao vya siri ambao vimewaeleza kuwa Kikwete amekua na ushawishi kwa Samia hususani kwenye maswala ya jumuiya ya kimataifa na Covid-19.

The Economist Intelligence Unit pia hivi karibuni liliripoti kuwa kuna watu ndani ya CCM, na baadhi ya vyombo vya usalama ndivyo vinaongoza nchi na Samia ni kama Rais mbele za watu, ila hana nguvu ya kufanya maamuzi yenye "substance".

Jana CNN walicover story ya Mbowe kupewa kesi ya Ugaidi. Mmoja wa wachambuzi (ambae alikuwa mmoja ya watu wa mwanzoni kabisa kutoa taarifa ya Magufuli kuumwa) alitabainisha mambo mawili.

1. Yaweza kuwa Samia ni kweli kabadilika na anataka kuonyesha nguvu yake kama Rais kwa kutumia mbinu za kidikteta za Magufuli.

2. Yawezekana watiifu wa serikali ya Magufuli wamegomea mabadiliko Samia anayotaka kufanya na wanapush back. Akasema Samia anaweza kuwa ameshindwa kucontrol serikali yake na viemelea vya serikali ya JPM kwenye usalama, chama na jeshi vinaendesha nchi.

Kuna baadhi ya viongozi kama Zitto Kabqe na Fatma Karume walishaanza kuona dalili za Rais kuendeshwa toka mwanzoni.

Soma hii habari

Hizi tuhuma zinafikirisha sana. Je nani anaendesha nchi? Tuna Rais kivuli? Kama ni kweli Samia anakubalije jina lake lichafuliwe? Kama ni kweli maamuzi hafanyi yy kwanini asiachie ngazi?

Tusubiri tuone tunaelekea wapi.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Nilikuwa naamini wanawake wanaweza kuendesha nchi hii Ila bado sana. Huyu mama had nothing to lose sababu hajagombea Urais, angeweza kutumia miaka hii minne kurekebisha kila kilichokaa vibaya halafu akastaafu zake after four years au hata akigombea sasa Ila itakuwa amenyoosha Mambo.

Ila hakuna anachofanya, hii aina ya approach sio za mama ni approach za kibabe ambazo ni za kiume kabisa sio yeye ndio maana yanatokea haya we unaona anasepa nje ya nchi, meaning kwamba kuna wanaoendesha hayo amewaachia wasimamie yeye anaenda kuzurura
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom