Je, Samia ni Rais kivuli kama inavyodaiwa na vyombo vya habari vya nje?

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
42,579
2,000
Chadomo mnakazi sana kifupi tulieni tutaelewana tu! Maandamano lini vile?
Hii mtakoma tu! Hakuna rais anayeweza vumilia mtu kama Mbowe, anayejiita Mpinzani mkuu, lakini anashindwa kuchagua maneno ya kutumia majukwaani. Hii ni Afrika, hii ni TZ. Ukijifanya huogopi utaonyeshwa woga ulipo.

Watu walianza kumsifu Samia iwe kama rushwa kwake, ajikombe kwao. Sasa kibano kimekuja naona zinatungwa hadithi za kumtia woga.
Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejishika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.

Hakuna kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm, ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi.

Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwanini wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutuumiza kwa madai yetu halali? Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
 
Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
7,259
2,000
Nikiwa kama SUKUMA GANG,ninasema hivii MPAMBANE NA HALI ZENU,Msoga/CDM/wanaharakati uchwara wazee wa mama anaupiga mwingi.Endeleeni na sinema zenu za kufuta legacy.

Ila tunawakumbusha tu, JPM was a president na nusu.

Kwa Sasa nchi ipo mikononi mwenu, hausiki hata chembe na sisi Sukuma gang hatuna chama,hatumsupport yeyote maana wote nyinyi kuanzia kina Gambo, Mwigulu, Dialo n.k mmeshiriki kumtusi mpaka Basi.

Ila Karma is a bitch,Ukizoea kula nyama ya mtu hutoacha na mbona mmeanza kushikiana visu mapema?
Ila Sukuma gang ni wahamiaji haramu kutoka jamii ya Hutu na Tutsi walioingia Tanganyika kwa awamu nne ..1920's,1950's,1970's na 1990's..Sasa mwakani Kuna Sensa muanze kujipanga kurudi kwenu haraka iwezekanavyo au tunawapa kesi ya ugaidi😂😂😂
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
5,164
2,000
Nchi inayumbishwa na S. gang .
Wana magroup yao wanadanganyana kuwa yule mkabila mwenzao aliuawa.

Kwa sababu walijua kuwa nchi imeshakuwa Mali yao wakajazana kwenye idara zote. Sasa wanahisi maza mkubwa atawapangua wanatumia nafasi zao kwenye dola kuuaminisha umma kuwa Mbowe ni gaidi.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
7,997
2,000
Hawa jamaa ni kituko Sana . mama akiwakamia wanamlaumu kuwa ni dikteta. Akikaa kimya wanaanza conspiracy zao Mara ooh nchi inaongozwa na jk. Kama ni hivyo basi wanapowekwa ndani wawe wanamlaumu jk kuwa ndo kawaweka.
Hivi umeelewa ulichokiandika?
 
Lumwago

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
310
500
Kama Ni hivyo hata 2025 akigombea tusimkubali. Tunataka rais kamili. Mwenye maamuzi binafsi, siyo kivuli Cha rais
 
lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
5,816
2,000
Jarida la The African Intelligence liliripoti wiki iliyopita kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete ndio mshauri mkuu asiye rasmi wa Rais Samia na anatumia ushawishi wake kusukuma agenda za uongozi wake zilizopigwa chini na Magufuli kama mradi wa Bagamoyo.

Jarida lengine la the Africa Report liligusia habari hii na kujaribu kuchambua kama Rais Samia ni Rais au kivuli cha Rais mstaafu Kikwete. Jaridi hili limetumia vyanzo vyao vya siri ambao vimewaeleza kuwa Kikwete amekua na ushawishi kwa Samia hususani kwenye maswala ya jumuiya ya kimataifa na Covid-19.

The Economist Intelligence Unit pia hivi karibuni liliripoti kuwa kuna watu ndani ya CCM, na baadhi ya vyombo vya usalama ndivyo vinaongoza nchi na Samia ni kama Rais mbele za watu, ila hana nguvu ya kufanya maamuzi yenye "substance".

Jana CNN walicover story ya Mbowe kupewa kesi ya Ugaidi. Mmoja wa wachambuzi (ambae alikuwa mmoja ya watu wa mwanzoni kabisa kutoa taarifa ya Magufuli kuumwa) alitabainisha mambo mawili.

1. Yaweza kuwa Samia ni kweli kabadilika na anataka kuonyesha nguvu yake kama Rais kwa kutumia mbinu za kidikteta za Magufuli.

2. Yawezekana watiifu wa serikali ya Magufuli wamegomea mabadiliko Samia anayotaka kufanya na wanapush back. Akasema Samia anaweza kuwa ameshindwa kucontrol serikali yake na viemelea vya serikali ya JPM kwenye usalama, chama na jeshi vinaendesha nchi.

Kuna baadhi ya viongozi kama Zitto Kabqe na Fatma Karume walishaanza kuona dalili za Rais kuendeshwa toka mwanzoni.

Soma hii habari

Hizi tuhuma zinafikirisha sana. Je nani anaendesha nchi? Tuna Rais kivuli? Kama ni kweli Samia anakubalije jina lake lichafuliwe? Kama ni kweli maamuzi hafanyi yy kwanini asiachie ngazi?

Tusubiri tuone tunaelekea wapi.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Jibu ni jepesi tu nenda kimboka kawatazame malaya kisha jiulize bwana wa malaya ni yupi jibu utalipata kuwa ..malaya wote ni mabwana zake..
 
robinson crusoe

JF-Expert Member
Oct 22, 2020
484
1,000
Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejishika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.

Hakuna kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm, ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi.

Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwanini wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutuumiza kwa madai yetu halali? Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
We unataka kuziponza biashara za wachaga! Si uliona mahoteli ya CRDB yakikosa hata pesa ya usafi? Magazeti mengine yako maktaba tu!
 
Mwamba 777

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
652
1,000
Jarida la The African Intelligence liliripoti wiki iliyopita kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete ndio mshauri mkuu asiye rasmi wa Rais Samia na anatumia ushawishi wake kusukuma agenda za uongozi wake zilizopigwa chini na Magufuli kama mradi wa Bagamoyo.

Jarida lengine la the Africa Report liligusia habari hii na kujaribu kuchambua kama Rais Samia ni Rais au kivuli cha Rais mstaafu Kikwete. Jaridi hili limetumia vyanzo vyao vya siri ambao vimewaeleza kuwa Kikwete amekua na ushawishi kwa Samia hususani kwenye maswala ya jumuiya ya kimataifa na Covid-19.

The Economist Intelligence Unit pia hivi karibuni liliripoti kuwa kuna watu ndani ya CCM, na baadhi ya vyombo vya usalama ndivyo vinaongoza nchi na Samia ni kama Rais mbele za watu, ila hana nguvu ya kufanya maamuzi yenye "substance".

Jana CNN walicover story ya Mbowe kupewa kesi ya Ugaidi. Mmoja wa wachambuzi (ambae alikuwa mmoja ya watu wa mwanzoni kabisa kutoa taarifa ya Magufuli kuumwa) alitabainisha mambo mawili.

1. Yaweza kuwa Samia ni kweli kabadilika na anataka kuonyesha nguvu yake kama Rais kwa kutumia mbinu za kidikteta za Magufuli.

2. Yawezekana watiifu wa serikali ya Magufuli wamegomea mabadiliko Samia anayotaka kufanya na wanapush back. Akasema Samia anaweza kuwa ameshindwa kucontrol serikali yake na viemelea vya serikali ya JPM kwenye usalama, chama na jeshi vinaendesha nchi.

Kuna baadhi ya viongozi kama Zitto Kabqe na Fatma Karume walishaanza kuona dalili za Rais kuendeshwa toka mwanzoni.

Soma hii habari

Hizi tuhuma zinafikirisha sana. Je nani anaendesha nchi? Tuna Rais kivuli? Kama ni kweli Samia anakubalije jina lake lichafuliwe? Kama ni kweli maamuzi hafanyi yy kwanini asiachie ngazi?

Tusubiri tuone tunaelekea wapi.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Ashasembeko legeza tako, dawa ikuingie baaaarabara, sindano isivunjikie takoni.

Samiah sio Rais kivuli. Samiah ndo Rais wako anayekuongoza na alieko madarakani, wee ulishaona wapi kivuli kinaongoza nchi?

Tena ninyi wanawake mchukue mfano wa kuchacharika na maisha kwa huyo mama. Huyo ndo role modal wenu.
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
12,789
2,000
Kwenye "uchafuzi" wa 2020, MaCCM waliteua wagombea wanawake wasiozidi 25 kugombea kwenye majimbo, CHADEMA iliteua wanawake zaidi ya 50... ni muhimu kukumbushana hili leo ikiwa ni siku ya Demokrasia na Mh Rais anakutana na wanawake... Tanzania ina majimbo 264
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
34,826
2,000
0AIS-7z.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom