George Betram

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
3,911
4,717
Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge.
Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto.
Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
 
Adama Traore alipitia hapo akitokea Barcelona na hakufanikiwa hapo A.V na akaonekana hafai baada ya kushuhudia wakishuka daraja lakini leo hii timu kubwa zinamtolea macho sana kwa moto anaouwasha pale Wolverhampton.

Sent using mazonge yamezidi
Ni vyema ukazingatia na umri ambao Adama Traore alikuwa nao kipindi anapita hapo.
 
Mechi ya kwanza ya Mbwana Samatta na Timu yake ya Aston Villa dhidi ya Leicester imemalizika kwa 2-1 hivyo kutinga hatua ya fainali huku wakimsubiri mshindi kati ya Man City na Man u. Samatta Amecheza kwa dakika 66 huku akikosa magoli kadhaa.

MAONI YAKO,RATE KIWANGO CHAKE LEO, Je, ataiweza mikiki mikiki ya ligi kuu England
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom