Je, Safina la Nuhu lilibeba samaki na dinasaurs wangapi?

Biblia hakuna sehemu inamtaja dinosaur maana mnyama mkubwa anatajwa tembo na samaki mkubwa anatajwa nyangumi kwa mujibu wa kitabu cha Mwanzo.
Mungu alimsahau!
 
Natamani kujua, katika lile safina la nuhu, alifanikiwa kuokoa dinasaurs wangapi na wa ukubwa gani? Pia wanyama wa majini kama samaki na nyangumi walikuwa aina ngapi na ukubwa gani? Kwa mwenye taarifa..
Uvivu tu! Si u-google mwenyewe ulete majibu hapa. Unataka tuhangaike kukutafutia majibu ww umeze tu??
 
Nuhu aliishi miaka mingapi iliyopita na Dinosaurs wali exist miaka mingapi iliyopita? ukiwa unafahamu hili nadhani hutakuwa na cha kuuliza...
Mjibu tu... kama wewe ni mkristo alafu ukasema Dinosaurs waliishi miaka mingi kabla ya Nuhu. Basi kuna vitu vingi vya kufafanua... kinyume cha hapo tutakuwa tunajua imani zetu nusu nusu.
 
Mjibu tu... kama wewe ni mkristo alafu ukasema Dinosaurs waliishi miaka mingi kabla ya Nuhu. Basi kuna vitu vingi vya kufafanua... kinyume cha hapo tutakuwa tunajua imani zetu nusu nusu.
Wapi nimeandika dinosaurs waliishi miaka mingi kabla ya nuhu...kuna uwezekano wewe ni mwanafunzi wa first year...
 
Mjibu tu... kama wewe ni mkristo alafu ukasema Dinosaurs waliishi miaka mingi kabla ya Nuhu. Basi kuna vitu vingi vya kufafanua... kinyume cha hapo tutakuwa tunajua imani zetu nusu nusu.
Unajua wadau wengi hawachangii kwa sababu wewe hujielewi, najaribu kukutoa umbumbumbu lakini bade hujielewi.
 
Mi nachojua Ni kuwa Mungu alimruhusu kumuingiza KITI MOTO ingawa kuna watu wanasema Ni rahisi.
Mdudu huyu Mtamu aisee. Ilibidi tu nuhu amuweke kwenye orodha
 
Back
Top Bottom