je safari za rais haziwezi kugharimu umeme?

bulletproof

New Member
Jul 21, 2011
2
0
Kwanza nchi tajiri kama usa,uk na nyinginezo rais wao hajasafiri kama rais wetu na pia amesafiri nchi nyingi kuliko rais yoyote africa je kwa yote haya ningependa kuuliza wanajamii hizi gharama za rais kusafiri huwezi kununua kifua umeme tukajiondoa na tatizo sugu la umeme?mtazamo tu
 
Atafaidifaidi urais asipokula good time sasa inaitwa chukua chako mapema
 
Kwanza nchi tajiri kama usa,uk na nyinginezo rais wao hajasafiri kama rais wetu na pia amesafiri nchi nyingi kuliko rais yoyote africa je kwa yote haya ningependa kuuliza wanajamii hizi gharama za rais kusafiri huwezi kununua kifua umeme tukajiondoa na tatizo sugu la umeme?mtazamo tu
Ndani ya miaka 5 tu tungeweza kuzalisha 1000MW!
 
Unataka niache kula bata majuu, kisa shida zenu, Hujui naenda kukagua akaunti zangu, Kelele za chura.............................Kwanza ngoja nimalizie miaka yangu mitano nikapumzike
 
Kwa safari fupi ziara ya ulaya ni Tsh 3 Bilioni. Ndefu Kama ile ya USA mwaka 2008 ni Tsh 8 Bilioni
 
Back
Top Bottom