JE Saccos: Official Registration | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JE Saccos: Official Registration

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by The Finest, Apr 23, 2012.

 1. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  View attachment JE SACCOS.pdf

  Baada ya kufanya jitihada na mikutano mbalimbali hatimaye lile wazo la kuanzisha Saccos lililoletwa hapa JF hatimaye sasa imekuwa ni vitendo baada ya kufanikisha kupata usajili wa kudumu wa JE Saccos. Nipende kushukuru wanachama na kamati nzima kwa kuweza kufanikisha suala hili muhimu.

  Pia shukrani zangu za dhati ziende pia kwa Ofisi ya Msajili wa Ushirika Tanzania na Afisa Ushirika Wilaya ya Kinondoni kwa jitihada za dhati za kupokea maombi yetu na kuyafanyia kazi.

  Kamati ya Utendaji itaanza shughuli zake muda si mrefu baada mambo muhimu kuwa yamekamilika
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hongera sana The Finest ..
  kwa muda wako mwingi ulio jitolea..

  Na hongera kwa wanachama wote pamoja kamati nzima..

  Long Live Jamii Forum.:A S 41:
   
 3. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Big up wakuu wote mliovuja jasho kufanikisha hili, najua haikuwa rahisi.
   
 4. T

  Tafakuru Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Naomba unisaidie utaratibu sahihi wa kufungua SACCOS
   
 5. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wow I won't ignore this kwa kweli.
  God bless Us!
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hongera sana dogo kwa kazi njema!
  Tubajipanga!
   
 7. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hongera kwenu wakuu kwa hili kuu.
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Thank you as well for your kind contribution of ideas towards JE Saccos
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu mbona nimeisha-attach tayari kwenye thread unaweza ukaangalia iko kwenye PDF
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Pamoja mkuu tunakusubiria mawazo na mchango wako ni muhimu sana
   
 11. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  TF hongera unawatendea haki waungwana
   
 12. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Safi sana. Hongera kwa kamati iliyoshughulikia. Kupata uanachama utaratibu ukoje?
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hongera sana kwa hatua kubwa ulioipata wewe na JE members wote..
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Good job TF
  Naja huko nitakucheki
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hongereni.... But ikiangalia ugomvi uliopo kwenye saccoss mbali mbali ambazo members wake ni watu wanaofahamiana nikicompare na hiii ambayo members wake ni strangers bado nakuwa na mashaka kama itafanikiwa.
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu tuma email kwenda jesaccos.tz@gmail.com utapata maelezo ya kutosha.
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Rejao labda nipende kutoa ufafanuzi kuwa we are not strangers asilimia 90 ya members wa JE Saccos tunafahamiana na tumeishafanya vikao zaidi ya mara 5 so tulipotoka na hapa tulipo sasa hivi mpaka kupata usajili kwa kufuata taratibu za ushirika ambazo zinazungumzia "Common Bond" so hatufanyi kienyeji tunafuata sheria ambazo tumepewa na Msajili wa Ushirika
   
 18. L

  LAT JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hongera sana wana JE ... tunasonga mbeledaima

  watanzania tutajikomboa kiuchumi sisi wenyewe

  Hongera JF kwa kuwa platform muhimu ya kuwakutanisha watanzania kwenye nyanja mbalimbali

  wengine wote mnakaribishwa

  Bravo ... bravo
   
 19. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Hongereni viongozi wetu kwa juhudi zenu za kufanikisha usajili wa JE Saccos. Kuna mijamaa inatoa "comments" wakati wao siyo wanachama! Pili pili ale mwingine............
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Hongera sana kwa kujitolea na kuweza kufanikisha hii kitu.
   
Loading...