Je, Rwanda yaweza kujimilikisha Kivu Kaskazini ya DRC?

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,634
Kufuatia kuwepo machafuko yasiyo Isha kwa milongo kadhaa yakichochewa na makundi ya waasi Kama ADF, na mengine mengi!! Kutokana na udhaifu wa serikali ya DRC KUPAMBANA NAYO!!

Nahivyo bas kusababisha kuishi nayo huku yakiua watu kila leo

images%20-%202020-07-17T204051.732.jpg


Je Rwanda inampango wakuchukua umiliki wa Kivu kaskazini ?

Sababu za KUFANYA hivo?
1.Rwanda n stable country
(makundi ya uasi yamepgana na Rwanda tangu 1994 na hayajaweza kuidhoofisha serikali na hayajaweza kuishi ndan ya Rwanda..

2.Rwanda ni nchi ndogo Sana hivo inahitaji ardhi

3.Makundi yanayoipinga serikali ya pk yako DRC

4.Serikal ya DRC imeshindwa kuleta Aman maeneo ya kivu
images%20-%202020-07-17T204226.203.jpg



images%20-%202020-07-17T204159.089.jpg
 
Sidhani kama dunia itaruhusu hili litokee mfano ni kilichowatokea M23
Dunia ipi mkuu....Israel ina annex West Bank dunia inaangalia
China taking over Tibet dunia ipo
Russia over Crimea dunia inatazama
Tureg tribe taking over north Mali dunia inaangalia
Israel took Sinai dunia ilikua inaangalia
And so many annexation
 
Logic behind mada hii ni nini hasa, FYI ndoto za siku nyingi za Watutsi kuhusu Hima Empire will never come to pass - NEVER. Eti Rwanda ni nchi ndogo kwa hiyo ruksa ku-annex Kivu province - je,Burudi ina ukubwa gani mbona haizungumzii kupora aridhi ya majirani zake, why Rwanda.

Mataifa ya SADC yalisha wahi kumpa fundisho la mwaka Kagame alipo jaribu kuvamia Congo DRC kwa lengo la kumpindua Kabira Sr, halafu wa annex Jimbo la Kivu, ushenzi huu ukashtukiwa na viongozi wa South Africa, Zimbabwe na Angola mwisho wa siku jeshi la Rwanda likahabulia kula kichapo cha mbwa mwizi,baada ya kushindwa hazma yao ya ku-annex Kivu wakaja na plan "B" by creating M23 rebels nayo wakashindwa, lakini hawakati tamaa, wana roho ngumu sana.
 
Dunia ipi mkuu....Israel ina annex West Bank dunia inaangalia
China taking over Tibet dunia ipo
Russia over Crimea dunia inatazama
Tureg tribe taking over north Mali dunia inaangalia
Israel took Sinai dunia ilikua inaangalia
And so many annexation
Wakongo na wabantu wameamka dhidi ya mpango wa ku-establish Tutsi-hima empire. Hilo halitawezekana kamwe. Mark my words.
 
Kwan watsi c wabantu mkuu...?

Mwonekano wao unarandana sana na Wasomali na Wahabeshi (Ethiopia) history inasema walihama na ng'ombe wao kutoka kaskazini Masharika mwa Bara la Africa na kuingia Rwanda miaka mingi sana, kabla Bara la Afrika halija wekewa mipaka na wakolini, Watutsi wanazingumza kinyarwanda as an acquired language kutoka kwa Wahutu na Batwa ambao ndio wenye asili ya sehemu hiyo (Rwanda), sina shaka lugha asili ya Watutsi ilikuwa aidha Kiharamaic au Kisomali hata huluka za Wasomali, Waethiopia na Watutsi zina randana sana, namely: Kujisikia,dharau na kupenda penda mambo ya ugomvi ugomvi - siwasemi vibaya nimesoma nao na wengi wali ishi vijijini mwetu kama wakimbizi tunawajua vilivyo.Kama alivyo fafanua mwenzangu Watutsi ni Wahamitic si Wabantu.
 
Back
Top Bottom