Je, Rwanda wameshafungja mipaka? Rusumo panapitika?

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,191
1,231
Ndugu zanguni habari zenu,

Binafsi nimekuwa na shauku kubwa ya kwenda kutembea nchini Rwanda. Lakini pamoja na hayo kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya juhudi za kupata mwenyeji huko hadi sasa nimesha pata watu karibia 3 ambao wamekubaki kuni Host.

Mipaka ilifungwa kwa Sababu ya kupunguza maambukizi ya COVID19. Swali langu kwa wale waliopo Karibu na mpaka (Rusumo)Je panapitika?

Natanguliza shukurani.

NB:kwa anae hitaji kujua App ya kupata host usiogope sina wivu nitakupatia link ili ufanye installation
 
Sijaelewa hapa mbona naona kama ni habari tatu tofauti kwenye mada moja?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom