ryan riz
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 423
- 682
Kichwa cha habari chajitosheleza,ni miaka na miaka Roma alikuwa anaimba kwa ajili ya kuelimisha hasa vijana waijue Nchi yao na rasilimali zao pamoja na matatizo yanayosababishwa na viongozi wa nchi na watumishi wasio na uadilifu.....sasa ni muda wa Mh Rais ajue ni kundi gani la kuwa nao karibu kuanzia wasanii mpaka asasi binafsi zilizokuwa kuwa zinapiga vita unyonyaji huu na uongozi mbovu na wasiwachukulie tena kama walikuwa wapiga domo bali ni wazalendo hasa...........REJEA NYIMBO ZOTE ZA JAMAA