Je Rolls Royce ya Diamond ni fake?

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
Kuna sintofahamu ambazo zinaendelea mitandaoni kuhusiana na Gari mpya ya msanii Diamond Platnumz Rolls Royce CULLINAN black badge 2021.

1.GARI NI FAKE
kigezo wanachotumia watu wenye chuki kuhusu kusema Kwamba gari ni fake ni hyo Logo inayokaa hapo Juu ya Bonet Eti Kwamba Rolls Royce Original Logo yake Haijakaa muundo wa hivo sasa hapo Juu pichani ni Page Rasmi ya kampuni hiyo ambapo wamepost Logo Kama hiyo ambyo watu wanadai kuwa ni fake,kwahyo kumbe hakuna ukweli wowote juu ya kusema gari ni fake.

2.GARI NI USED (IMESHATUMIKA)
Picha ya mkono wa kulia huyo ni Meneja Sallam Mendez wa msanii Diamond akiwa katika moja ya showroom za Rolls Royce na hilo aliloegamia Ndio Gari iliyonunuliwa na msanii Diamond Platnumz. So DON'T HATE BE INSPIRED!

WAAMBIE WANAFKI KWAMBA SISI WATANZANIA SIO WAVIVU NA TUNAKIU PIA YA KUFUATILIA VITU DUNIANI HATUBURUZWI
FB_IMG_1626448359190.jpg
 
Tanzania kuna vituko Sana ni nchi ambayo imejaa vilaza wengi na wajuaji, tangu lini gari likawa feki?
Tuliache gari la Diamond, Ila gari fake zipo. Mtu anaweka engine ya 4 cylinders lakini body, mwandishi na muundo wa six cylinders.

Mtu ananunua gari landcruiser ya 2012 anavua mashavu, show, dashboard, viti na taa anaweka vya 2020 maana vinaingiliana just with few modifications. Hii no gari fake maana ukinunua wanakupigia bei ya model ya 2020 wakati engine na vingine ni 2010.

Unakutana na Range Rover imewekwa engine ya TDI sababu zinaongiliana, unapishana nae unamuogopa kweli kumbe anaendesha range feki. Simply TDI haili mafuta na spares bei Chee kushinda za range.

Kuhusu gari ya Diamond siwezi kusema ni feki au vipi maana anayejua ni yeye humu tutakuwa tunapiga porojo mazee.
 
Back
Top Bottom