Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,476
- 15,717
Nimeitafakari hotuba ya Tundu Lissu ya Jana nikawaza huwenda ikawa ni mpango wa Mungu kwa Watanzania kutokana na uungwaji mkono anaoupata kwa Watanzania.
Kama tunavyokumbuka ameshinda jaribio la mauaji dhidi yake kwa kupokea risasi 16 mwilini na leo anasimama mbele ya wananchi na kutoa hotuba nzito.
Kwakweli huu ni muujiza wa aina yake na ninashawishika kuwa huu ni mpango wa Mungu.
Kwa hakika RISASI IMESHINDWA DHIDI YA NGUVU YA UMMA