Je, ripoti ya CAG inapaswa kufanyiwa kazi na bunge au serikali?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,744
141,610
Nawauliza waungwana ripoti ya CAG ambayo kimsingi anakabidhiwa Rais wa JMT, inapaswa kufanyiwa kazi na nani?

CAG anatoa hoja za ukaguzi na walioguswa wanawajibika kutoa maelezo, ufafanuzi au marekebisho kulingana na hoja husika sasa bunge zaidi ya kupiga siasa wana utaalamu gani wa kujadili hoja za kiuhasibu?

Niwatakie SB ya Mitende yenye baraka!

Maendeleo hayana vyama!
 
Ninavyojua Mimi ni kuwa ripoti hiyo inajadiliwa bungeni, kwa kuwa ndiyo wawakilishi wetu na hiyo ni ripoti inayohusu pesa zetu kwa maana ni pesa ya walipa kodi wa nchi hii
 
Back
Top Bottom