Je, report ya waziri Ummy imemsahau mgonjwa aliyepona Mwana FA?

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari JF!
Kwanza tupeane pongezi kwa kuendelea kupambana vizuri na vita ya Corona ,maana mpk ss tuna idadi ndogo ya waathirika wa Covid 19 hapa Afrika Mashariki ukilinganisha na nchi wanachama nyingine .Tuendelee kuzingatia ushauri tunaopewa na wataaramu wetu.

Twende kwenye Mada,kwa mujibu ya ripoti ya waziri wa Afya Ummy Mwalimu wagonjwa waliopona ni wawili ambao mmoja toka hospital ya TMK na mwingine ni superstar Isabella.

Swali ninalojiuliza ,je waziri amemsahau FA au bado yupo Karantine?
_20200402_172636.JPG
 
Back
Top Bottom