Je, RC Alexander Mnyeti amestaarabika au ni unafiki madhabahuni?

Domaradzka

Senior Member
Apr 19, 2016
135
168
Leo katika maadhimisho ya misa ya kusimikwa na kuwekwa wakfu kwa Askofu wa Jimbo Katoliki Mbulu, Mhashamu Antony Lagwen Gaspar Mheshimiwa Mkuu wa mkoa wa Manyara alipewa nafasi ya kuwatambulisha viongozi wa Serikali na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Rev.Dr charles Kitima aliyekuwa VC wake wakati akisoma SAUT

Mheshimiwa Mnyeti ameongea kwa staha kuliko tulivyomzoea. Amesifu mchango wa kanisa na kuwasifu viongozi wake. Kiunyenyekevu akasema yuko mbele za walimu wake kama Bernadin Mfumbusa na wakuu wake kama Rt Rev Jude Thaddeus Ruwa'ichi OFMcap aliyekuwa Chancellor na Rev Charles Kitima aliyekuwa VC.

Kama ni mara ya kwanza kumsikiliza mnyeti kimazungumzo bila ukakasi wowote utajua ni mtu mstaarabu asiye na kifani kwa alivyoongea

Mwenye audio au video anaweza kutuwekea

Je, amestaarabika au ni unafiki?
 
Siasa za nchii hii tamuu sana!!,..ingekuwa ni kipindi cha awamu ya nne mnyeti angeitwa shujaa!
 
Huyo sitamsahau alilotaka kunifanyia,eti anifukuze kazi. Nilimruka futi mia,hakuamini,watu wake ni marafiki zangu hadi leo,walishangaa jinsi nilivyoweza kuruka kiman
 
Huyu mchumia tumbo halafu msidiscuss watu,tu discuss hoja,nyie mnatumwa ili muandike majina yao humu wapate kuongelewa but in facts they are just empty tin making a noise,they are not doing their job,they are journalist who blackmailed our president
 
Back
Top Bottom