je raisi ameshapitishia adhabu ya kunyongwa hadi kufa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je raisi ameshapitishia adhabu ya kunyongwa hadi kufa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kimamii, Mar 13, 2012.

 1. k

  kimamii Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  msaada tutani naandika report yangu je raisi mkapa na kikwete wameshawahi kupitisha adhabu ya mtu anyongwe hadi kufa, report na case za kunyongwa hadi kufa zipo je zimekua executed, as president ndo mwenye last say.....
   
 2. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiki unachouliza labda upate mtu wa magerewa anaweza kukusaidia, maana hapa kwetu sheria zinatungwa ilhali wanajua utekelezaji ni mgumu then wanabaki kuyafanya mambo 'classified'. Wenzetu wa marekani wanafanya wazi tu, sasa kama sisi sheria imekuwa haitekelezeki si bora kuifuta au kuifanyia marekebisho.
   
Loading...