Je, Rais Samia na PM wameamua kutumia usafiri wa umma ku-cut cost kwenye ziara zao? | Majaliwa alitua Kigoma kwa Precision, Rais akaondoka na Emirates

Wapinzani wetu walimsifia Rais wa jirani kwa kupanda usafiri wa umma, na kumzodoa huyu wetu kuwa ameenda na dreamliner, bila hata ya kuwa na uhakika!! Walipogundua wameingia chaka kwenye hilo, wakaanza kumzodoa kwa mambo mengine ya hovyo na ya kitoto kabisa!! Wengine wakasema amekodi ule mdege wa Emirates wote!! Kudeal na Opposition wa TZ yataka moyo sana
Mkuu Mungu ametulaani wabongo kumezaliwa watu kuchonga midomo hata bila kwanza kupiga mswaki.
 
Wewe unadhani haiwezekani?

Acheni Roho mbaya Serikali inafanya kazi kubwa sana hii

Jibu maswali yangu mawili.
1. Hiyo kwenye picha ni Precisionair?

2. Ilibeba na abiria wengine au ilimchukua waziri mkuu na msafara wake pekee.

Kuhusu kazi inayofanya serikali tutaziona na kuna wasemaji wake na wanalipwa mshahara kwa hiyo kazi.
 
Wapinzani wetu walimsifia Rais wa jirani kwa kupanda usafiri wa umma, na kumzodoa huyu wetu kuwa ameenda na dreamliner, bila hata ya kuwa na uhakika!! Walipogundua wameingia chaka kwenye hilo, wakaanza kumzodoa kwa mambo mengine ya hovyo na ya kitoto kabisa!! Wengine wakasema amekodi ule mdege wa Emirates wote!! Kudeal na Opposition wa TZ yataka moyo sana
Naona wapinzani unawasingizia tu!

Wanaompinga na kumhujumu raisi samia wala siyo wapinzani,ni wanaCCM masilahi,ambao walikuwa wananufaika na siasa za hovyo za kibabe za mwendazake. Hawa wanaCCM masilahi wanataka mama atawale nchi kwa mtindo wa mwendazake. Hawataki aongeze nchi kwa utashi wake!
 
Mbaya sana hii,

Awamu ya sita ni moto mkali,
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Katika kile kinachoonekana kuishi na kufanya|kutenda Kizalendo kwa Rais na Waziri Mkuu wetu Mhe Majaliwa Khasim Majaliwa pamoja na kwamba Tanzania tunajumla ya ndege mpya 11 wao wameamua kwenye baadhi ya shughuli zao za kiserikali zinazotumia gharama kubwa ya ndege na maeneo hayo kama kunandege watatumia usafiri huo wa Umma,

Tarehe 16|09|2021 waziri mkuu alipanda " Precision Air line " kwenda Kigoma kwenye ziara ya kikazi wakati tarehe 19|09|2021 Rais Samia alipanda Emirates Air line kwenda New York Marekani kwaajili ya kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa,

Sote tunafahamu,Umbali kutoka Kigoma -Dar es salaam ni km 1,081 sawa na masaa 2:30 angani,Hii kwahakika ni Safari ndefu na inatumia gharama kubwa za Serikali ndio sababu Waziri mkuu aliamua kutumia Usafiri wa Umma yaani Precision Air Line ambayo inafanya Safari zake Kigoma- Dar kwa zaidi ya miaka 15 Sasa,

Watanzani ondoeni shaka nchi yenu iko Salama sana pengine tangu kuumbwa kwake,

VIVA MAJALIWA VIVA ||VIVA SANIA VIVA

Proud of,

Samia
Mpango
Majaliwa

Haya ni majembe kwelikweli,
Haya mambo hayakuwahi kutokea kabisa
 
Hiyo kwenye video iliyoambatanishwa ni Precisionair?

Tufanye ni yenyewe, kwamba ilikua na abiria wengine akashuka kwanza yeye kwenye zulia jekundu na abiria wakaenda kushushwa eneo la abiria ama ilikuaje? Nauliza tu nifahamishwe!
Acha kushangaa ndio awamu ya sita hiyo,

Kazi iendee
 
Najivunia kuwa raia wa TANZANIA.....

Najivunia kuwa na rais wetu kipenzi chifu mkuu mh.Hangaya SSH!

Najivunia kuwa na makamu wa Rais mh.Philip I.Mpango na PM mh. Kassim Majaliwa

#NchiKwanza
#SiempreJMT
Alafu unaishi store, mbona hujivunii kwa hilo
 
CHADEMA ACHENI KUPOTOSHA

KAZI IENDELEE
Daah,

Chadema poleni sana,
 
Machagadema sijui kwann yanakuwa mazezeta kiasi hiki.

Precision hapo iko wapi?

Mh. Rais au Waziri Mkuu unajua taratibu zao za usafiri wa Anga wanatakiwa watumie ndege za Serikali, sbb zipo nyingi, moja wapo ni security and safety..

Ww unaandika upuuzi tu humu, unadhania kutumia ndege za serikali ni ghali kuliko ndege za biashara? Ndege za serikali ni bei nafuu mnoo kuliko ndege zingine za kukodi.
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Katika kile kinachoonekana kuishi na kufanya|kutenda Kizalendo kwa Rais na Waziri Mkuu wetu Mhe Majaliwa Khasim Majaliwa pamoja na kwamba Tanzania tunajumla ya ndege mpya 11 wao wameamua kwenye baadhi ya shughuli zao za kiserikali zinazotumia gharama kubwa ya ndege na maeneo hayo kama kunandege watatumia usafiri huo wa Umma,

Tarehe 16|09|2021 waziri mkuu alipanda " Precision Air line " kwenda Kigoma kwenye ziara ya kikazi wakati tarehe 19|09|2021 Rais Samia alipanda Emirates Air line kwenda New York Marekani kwaajili ya kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa,

Sote tunafahamu,Umbali kutoka Kigoma -Dar es salaam ni km 1,081 sawa na masaa 2:30 angani,Hii kwahakika ni Safari ndefu na inatumia gharama kubwa za Serikali ndio sababu Waziri mkuu aliamua kutumia Usafiri wa Umma yaani Precision Air Line ambayo inafanya Safari zake Kigoma- Dar kwa zaidi ya miaka 15 Sasa,

Watanzani ondoeni shaka nchi yenu iko Salama sana pengine tangu kuumbwa kwake,

VIVA MAJALIWA VIVA ||VIVA SANIA VIVA

Alienda peke ake?
 
Back
Top Bottom