Je, Rais Samia kaongeza kweli boom au ni siasa?

Wrevta

JF-Expert Member
Jan 18, 2023
1,440
1,720
Kwa wanavyuo mlio sign, je, kweli kaweka laki 6 badala ya laki 5?

Isije tu kuwa siasa za kuwa manipulate watoto wa walala hoi.

Ila natumai mama ni mkweli!
 
FB_IMG_1676446569432.jpg

Watu bado wanatafita ma sponsor wamechoka kusubiri ongezek la boom
 
Back
Top Bottom