macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,770
- 39,552
Uko right. Kwa mfumo huu hata aingie nani hawezi ku-perform vizuri. Kitu cha kwanza ni kuwa mfumo unamfanya rais achanganyikiwe kwa sababu anakutana na vitu vingi sana vya kufanya. Akishachanganyikiwa ndiyo anaanza kulainika na wapambe ndiyo wanaingia kufanya yao. Kumbuka kuna watu huu mfumo ndiyo kula yao na hawatakubali hata siku moja ubadilike.Sometime is better to blame the system, na sio kiongozi, maana inaonesha kiongoz akishika madaraka, zile siku za mwanzo anakuwa na nia njema ya kuwatumikia wananchi, lkn baada ya muda mfupi anarudishwa ktk factory reset ya system iliyomuweka madarakan kwa kufanya na kufuata agenda nzma za system bila kuvunja mashart, ndio kama muonavyo kwa samia, mwanzo inawezekana hakujua hali ikoje ktk utawala.lkn baada ya kuingia ndyo anaanza kuwekwa sawa na wenyenchi yao...ccm ni ilee ilee