Andrew Mushi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 630
- 696
Hivi Kikwete, aliposema Magufuli kutwa kumuita yeye I'm only paraphrasing "mzee mzee..anataka kuninyima nini.. Na kumalizia huyu ana lake jambo ", nilimuona jinsi gani alivyoudhika na maneno yale, Na hatma yake akayarudia tena jukwaani from a very private conversation between the two, kama tulivyosikia, je alikusudia nini hasa?, kwa hisia zangu amejaribu to expose the hypocrisy of the man himself or what exactly?
Je kikwete alipoinuka na kuweka sawa juu ya nini msingi MKUBWA uliopelekea mapendekezo yake, to reform the party, because of expanding COST na kukosekana kwa mapato ya chama, alikusudia nini ? Contrary to what was said by Mwenyekiti, his message was more antagonising the members... not well received..
Na je Kikwete, alifikiria nini hasa, alipomtaja katibu Mkuu Kinana aliyekuja na mkakati wa ushindi wa chaguzi zilizopita na ya kwake, je alihisi kama Kinana yuko undervalued under this administration?
Na jengine Kikwete kuwekwa wazi, aitwe wakati wa uchaguzi tu!, kuja kutetea chama, amekusudia nini kwa kusema hili? Je ameona uongozi chini ya Rais hauko imara kiasi ya kwamba, wanavuruga ikifika uchaguzi, waingie wazee waweke sawa? Mimi nilifikiri sera na utekelezaji wa sera ndio unakiuza chama? Was I wrong? Or my curiosity is on que or am I thinking beyond the realm of my thoughts?
What's your thoughts?