Je, Rais Magufuli unakumbuka ahadi hii?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,841

Naomba mahakama ya mafisadi ianze na hawa lasivyo nitaamini kuwa ni nguvu ya soda.

Mafisadi walikukimbia sasa washugulikie kweli kweli si uliahidi hivyo pale jangwani Dar?
 
Hahahahahaha, kuna watu ni wataalam wa kuongea story za vijiweni sehem maalum, ukimkumbusha anakuwa hana njia ya kukifanya kile alichokisema maana nae huenda alickia mtaani tu
 
Unapomuomba hilo kwani umemuona kuwa ni mtu anayemaanisha aongeacho? Mambo ya Uchama yamerudi kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote ule tangu mfumo wa vyama vingi urudishwe tena nchini.
 
Unapomuomba hilo kwani umemuona kuwa ni mtu anayemaanisha aongeacho? Mambo ya Uchama yamerudi kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote ule tangu mfumo wa vyama vingi urudishwe tena nchini.
Yes of course kuna tatizo hasa ukiangalia wateule wa Rais ni wafia chama...
 
Back
Top Bottom