Je, Rais Magufuli ni Waziri?

abagabo

Senior Member
Jun 4, 2014
155
168
Jamani swali langu naliuliza basing on the fact that, mhe. ameamishia TAMISEMI Ikulu, lakini kabla ya hapo ilikuwa kwa PM.

Na PM wakati mwingine aliitwa waziri mwenye dhamana na TAMISEMI.

Sasa je kwa kuamishia TAMISEMI Ikulu maana yake JPM ni waziri mwenye dhamana na TAMISEMI?
 
Kila kukicha mnawaza upuuzi tu

" katika awamu hii wapinzani wasitegemee madhaifu ya ccm ,watapotea" ,,,, by prof kitila
 
Unaweza kutuwekea mafanikio ya utawala huu hadi sasa? na utuambie je maisha ya wananchi yamekuwa bora kuliko ilivyokuwa kabla yake?
Tambua kuwa hapa nilipo kabla Magufuli ajaingia madarakani
- Mfuko wa sukari kg.25 ulikuwa Tsh. 42,000/- sasa hivi 45,000/- hadi 45,500/-
- Unga wa sembe kg.25 ulikuwa Tsh. 19,500/- sasa hivi 24,500/- hadi 25,000/-
- Tatizo la Umeme kukatika lipo pale pale
Sasa unaposema eti wapinzani hawatapata udhaifu wa utawala huu wewe kuna jipya lolote uliloliona au unaandika na kifikiri kiushabiki tu.
 
Kama hilo hulioni sina haja ya kukujibu ila kwa kukusaidia, wasomi waandishi wa Kenya. Uganda. , South Afrika na maandiko yao alafu njoo uniulize
 
Watu wanatafuta vijimambo mradi kubeza, tusikariri mambo ya serikali hutakiwa kufanyika kwa kuangalia situation iliyopo.
Tueleze baya litokanalo na uamuzi husika (kamalipo) ndipo tujadili,hamna basi tulizana kazi ipigwe
 
Unaweza kutuwekea mafanikio ya utawala huu hadi sasa? na utuambie je maisha ya wananchi yamekuwa bora kuliko ilivyokuwa kabla yake?
Tambua kuwa hapa nilipo kabla Magufuli ajaingia madarakani
- Mfuko wa sukari kg.25 ulikuwa Tsh. 42,000/- sasa hivi 45,000/- hadi 45,500/-
- Unga wa sembe kg.25 ulikuwa Tsh. 19,500/- sasa hivi 24,500/- hadi 25,000/-
- Tatizo la Umeme kukatika lipo pale pale
Sasa unaposema eti wapinzani hawatapata udhaifu wa utawala huu wewe kuna jipya lolote uliloliona au unaandika na kifikiri kiushabiki tu.
Ndani ya siku 100

Hujaona kitu? Wenye akili wameona huo mfumuko wa bei unesoma ripoti iliyotolewa juzi ikoje?

Au ndio unaandika kulalamika kama kawaida yenu

Usifikiri kuongoza nchi ni sawa na kwenda beach na mke wako
 
Kwani Rais ni Waziri? Unapaswa kujiongeza na si kucopy na kupaste mambo yaliyopita
 
Unaweza kutuwekea mafanikio ya utawala huu hadi sasa? na utuambie je maisha ya wananchi yamekuwa bora kuliko ilivyokuwa kabla yake?
Tambua kuwa hapa nilipo kabla Magufuli ajaingia madarakani
- Mfuko wa sukari kg.25 ulikuwa Tsh. 42,000/- sasa hivi 45,000/- hadi 45,500/-
- Unga wa sembe kg.25 ulikuwa Tsh. 19,500/- sasa hivi 24,500/- hadi 25,000/-
- Tatizo la Umeme kukatika lipo pale pale
Sasa unaposema eti wapinzani hawatapata udhaifu wa utawala huu wewe kuna jipya lolote uliloliona au unaandika na kifikiri kiushabiki tu.
Hahahahahaaaaaaa! Naona mmeanza kuokoteza mapungufu ya Magufuli. Majipu yataendelea kutumbuliwa tu hata kama yapo UKAWA
 
Unaweza kutuwekea mafanikio ya utawala huu hadi sasa? na utuambie je maisha ya wananchi yamekuwa bora kuliko ilivyokuwa kabla yake?
Tambua kuwa hapa nilipo kabla Magufuli ajaingia madarakani
- Mfuko wa sukari kg.25 ulikuwa Tsh. 42,000/- sasa hivi 45,000/- hadi 45,500/-
- Unga wa sembe kg.25 ulikuwa Tsh. 19,500/- sasa hivi 24,500/- hadi 25,000/-
- Tatizo la Umeme kukatika lipo pale pale
Sasa unaposema eti wapinzani hawatapata udhaifu wa utawala huu wewe kuna jipya lolote uliloliona au unaandika na kifikiri kiushabiki tu.
hizo ni akili za kuwaza eti mke wangu lazima apate mimba siku ya honeymoon ni upuuzi......ana siku ngapi tangu aingie madarakani,angekuwa anarudia kipindi chake cha pili ungemuhukumu hivyo unavyotaka ndo kwanza anajenga ngome yake unataka amuue adui huku ana ngome iliyojengwa kwa udongo watanzania vipi??
 
Kwani Rais ni Waziri? Unapaswa kujiongeza na si kucopy na kupaste mambo yaliyopita
TAMISEMI sio wizara pekee imepata kuwa ofisi ya Rais. Hata sasa UTUMISHI bado iko ofisi hii. Makamu wa Rais nako kuna wizara pia. Rais ni waziri ndio. Yeye ndie Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri tusisahau.
 
Unaweza kutuwekea mafanikio ya utawala huu hadi sasa? na utuambie je maisha ya wananchi yamekuwa bora kuliko ilivyokuwa kabla yake?
Tambua kuwa hapa nilipo kabla Magufuli ajaingia madarakani
- Mfuko wa sukari kg.25 ulikuwa Tsh. 42,000/- sasa hivi 45,000/- hadi 45,500/-
- Unga wa sembe kg.25 ulikuwa Tsh. 19,500/- sasa hivi 24,500/- hadi 25,000/-
- Tatizo la Umeme kukatika lipo pale pale
Sasa unaposema eti wapinzani hawatapata udhaifu wa utawala huu wewe kuna jipya lolote uliloliona au unaandika na kifikiri kiushabiki tu.
Achana na maboya mkuu....watu wengine cjui vipi...ccm ikitajwa tu, basi misukule ya Lumumba huja juu kweli
 
Jamani swali langu ninliuliza basing on the fact that, mhe. ameamishia TAMISEMI ikulu, lakini kabla ya hapo ilikuwa kwa PM.

Na PM wakati mwingine aliitwa waziri mwenye dhamana na TAMISEMI.

Sasa je kwa kuamishia TAMISEMI ikulu maana yake JPM ni waziri mwenye dhamana na TAMISEMI?
Sijui lakini nadhani hiyo wizara ina waziri mhusika na kuihamishia ikulu nadhani ni kwa nia ya ufuatiliaji wa karibu, ni kama umeamua kumshushia hadhi tu,anyway ni nchi ya kidemokrasi hii una weza kuchagua kuishi nyumbani kwako,segerea au keko ni maamuzi yako tu.
 
Back
Top Bottom