Je, Rais Magufuli alipopiga simu kwenye Tamasha la Kwaya la Kumshukuru Mungu alikuwa yupo wapi pale?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya.

Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi Kulikuwa na kama Tv ikamuonesha Rais John Pombe Magufuli akiwasalimia waliohudhuria.

Ila Nyuma ya Mheshimiwa Rais kulikuwa na Kama jiwe kubwa flani hivi sikujua ni nje au ndani maana kwa mbali nilicheck kama kochi la mtu mmoja na taa inawaka. Wajuzi mlipaelewa pale?
 
Mara ya mwisho kabla ya kwenda mbochi kule chattle hukumuona akipiga picha juu ya mawe akiwa pale fasi ya dwasi akiwa amevaa raba zake safi kabisa

Hata jana nahisi yale mawe yako humo humo ndani ya fensi ya fasi ya dwasi.
 
Ndani ya ikulu chamwino kuna mawe, yamejengewea vzr yapo ndani ya ofisi za ikulu, kwaio ondoa shaka pale alikuwa ndani ya ikulu,Karibu chamwino.
 
Hahahaha, dah kweli ,na jamaa wanakuja kasi ,nasikia tamasha linapelekwa chattle na kwingineko
Hahah hio sikua nimejua aisee,jamaa watapiga mpunga sio wa polepole aisee.

Sasa ili kubalance mambo itabidi waandae na tamasha la ndg zetu waislam,ila sasa ili linoge sijui watakua wanapiga nyimbo gani(labda hua wana nyimbo zao mzee baba).
 
Hahahaha ,waislamu watapewa shavu lao Eid el Haji nadhani

kwanza wanapata ofa ya kwenda Mecca km itakuwepo safari ( baadhi ) then wanajazwa Kwa mkapa kuimba kaswida

Mambo mengi muda mchache , tutaunganisha na kampeni humo humo
 
Hahah mwanangu una hesabu kali kinyama,naona polepole amesha screenshot ujumbe atau forward fasta kwny kamati husika ili wazo likatekelezwe.
 
Hahahaha, hao hatuna wasi wasi nao kwanza Msikiti bado hatujawakadhi pale HQ , uzuri sio wasumbufu awamu hii
Hahah aisee kumbukumbu unazo mzee baba, ile Mambo ya msikiti nilikua nimesahau kabisa,lazima mkuu mwenyewe aje kuuzindua.

Ila wajomba awamu hii wametulia,nikikumbuka enzi za baba riz walivyokua wanazingua mpk mambo ya sensa hawataki kuhesabiwa nacheka sana hahah,enzi hizi wakiambiwa kuna sensa watajibu fasta mzee wala usijali wewe tulia chapa kazi tutaenda kujihesabu wenyewe fasta tukuletee majibu,wala usipate shida mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom