Sasa kama CCM mmeanza kumalizana wenyewe sisi majirani tutafahamu vipi mambo ya nyumbani kwa watu?
 
Hilo suala naamini ukiambiwa ulielezee kwa undani utaishia kusema 'nadhani, nahisi, nâfikiri...' hivyo tuliache kama lilivyo kwa kuwa Mungu akitoa pia anatwaa hivyo tuendelee kuamini ni mpango wa Mungu.

Kifo cha JPM tusikipe nafasi ya kukijadili sana ila tuyajadili kwa upana maisha yake na falsafa zake hicho ndio kitatusaidia kusonga mbele.
 
Auwawe ili iweje? Kufa sio bahati mbaya mkuu kuwa mtu flani hatakiwa kufa au kifo ni maandiko na lazima yatimie...hakuna cha kuuliwawala nini ila tu wakati wake ulifika
 
Hiyo makala niliisoma vizuri.

lakini kuna point moja umeruka sehem. kifaa hicho mawimbi yake ni mafupi mno kiasi kwamba mtu lazima awe so close kuweza ku access hiko kifaa.

Nut in real sense. the way rais alifichwa. ilikuwa ni ngumu sana. kama PM na mawaziri hawakujua, nani angemsogelea rais zaid ya walinzi wake na madkatari wa usalama?

Plus Tanzania hatufikia uwezo wa hacking kiasi hiko. bado tuna safari ndefu.

All in all our late president aliondoka kwa tatizo la moyo. hizi theory sijui ilikuwa hivi ilkkuwa vile hazimrudushia uhai.

Wanausalama walishatoa sababu. Apumzike kwa amani
Siku ile pale Morogoro inaonekana kabisa Rostam Aziz alikuwa akijitahidi kumsogelea na kuwa karibu na JPM.
 
Siku ile pale Morogoro inaonekana kabisa Rostam Aziz alikuwa akijitahidi kumsogelea na kuwa karibu na JPM
Kwaio skuiz Rostam ni HACKER..!?

Acheni hizo, kwa theory hizi Covid-19 haitawaacha salama watu...
 
Yatasemwa mengi sana,juu ya kuondoka kwa JPM.
SIRI ndiyo inaongoza dunia.Kinini kilimuua,ilikuaje akafa,inajulikana na MWENYE SIRI,tujue tu amekufa kwa moyo.
 
Kwa hali inavyoendelea kwa sasa naona kufariki kwa mwendazake kuna sababu zipo nyuma na haikuwa mapenzi ya Mungu naomba msininukuu vibaya ni maoni yangu ili na nyinyi mniambie kama ninawaza vibaya..
Naungana na wewe, mambo siyo haya tunayowaza au tunayoambiwa.

Kuna kitu kikubwa na vema wangesema tu tokea awali. Ilifichwa kwa faida ya nani.

Nchi inakuwa nyeusi, mama anaanza ziara kabla ya kumaliza kuunda baraza, kipo kitu hawataki tujuwe ila ipo siku Mungu atayaanika.
 
Ukisikiliza hotuba zake JPM kwa umakini sana, utagundua jinsi alivyokuwa anaiona hatari ya Kuuliwa. Hata mimi kwa uelewa wangu mdogo wa security nilikuwa nishaanza kunusa hiyo hatari ya kifo chake.

Sasa inakuwaje TISS ambao wamepewa dhamana ya kumlinda masaa 24 wasiweze gundua hatari iliyokuwa inamkabili? inaelekea hiyo taasisi imejaa watu wasio sahihi na wasio na uzalendo kabisa. Na watakuwa wanaitumia hiyo taasisi Vibaya.

Katika uongozi wa Tanzania, ukiwaangalia marais 6 utagundua kuna makundi 2 yenye style tofauti za uongozi. Kundi la kwanza ni viongozi wenye msimamo mkali wa raslimali za nchi ambao ni Nyerere, Mkapa na Magufuli. Wote walikuwa wazalendo kwa nchi yao na wameleta impact kubwa sana nchini. Walikuwa wanatetea raslimali za nchi na walikuwa hawacheki na mabeberu. Na wote watatu vifo vyao ni vya utata utata.

Kundi la pili ni ili kundi la viongozi wenye msimamo soft soft ambao ni Mwinyi, Kikwete na Samia. Wote hawa misimamo yao sio mikali hasa hasa kwenye raslimali za nchi. Mwinyi alikuwa mzee wa ruksa, Kikwete mzee wa bata na Samia mmemsikia akiamuru madini yachimbwe, wafanya biashara waachwe hata wakihujumu uchumi na kadhalika. mitazamo yao ya uongozi iko tofauti kabisa na kundi la kwanza.

Hii inatuonesha kwamba viongozi wenye msimamo mkali kwenye raslimali za nchi wanauliwa mapema sana kwani wanakwamisha mipango ya mabeberu kuiba raslimali za nchi. Na kiongozi mwenye msimamo mkali hata TISS hawawezi kumlinda.

Kama ukiwa rais na ukalegeza msimamo wako kwa mabeberu, basi utakuwa umejisalimisha na mabeberu hawatakuua, kwahiyo kazi ya TISS kukulinda itakuwa raisi kwao kwani hutadhulika.

Swali la kujiuliza, kama moja ya kazi ya TISS ni kuhakikisha vongozi wako salama, sasa ni kwanini viongozi wanauliwa kwasababu ya kulinda na kutetea raslimali za nchi?
 
Mimi nadhani tungewalaumu tu UVCCM ambao wengi wao kwa sasa wamejigeuza kuwa hao Tiss.
 
TISS wanamlinda vipi dhidi ya ugonjwa ambao yeye mwenyewe anasema haupo tumepiga maombi umeisha?

Rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote, unaweza kumshauri lakini hauwezi kulazimisha.
 
As long as amesha sahau kuamka let him go!! Hata kama alikuwa na redio haitusaidii
 
Nonsense. Totally nonsense. Late late has passed away aachwe akapumzike. Kwa nini mnadhani hakuwa anapaswa afe?kila binadamu atakufa kwa style yoyote. Mnahangaika na mabeberu,mnahangaika na Lissu,Mnahangaika na sababu mbalimbali.

Lakini wataalamu walishasema sababu ya kifo chake. Period.hata mkiweka weka sources za kiingereza n.k uongo upo kwa kila lugha.
Watu wenye akili yao hujiuliza!!!?
lkn ukiwa na akili ya mbuzi unatek easy tu kama ww
 
Pace maker aliyowekewa 2011 alishaambiwa life span yake ni miaka kumi Toka wakati wa kapeni alishaanza kuchoka...natural death
 
Back
Top Bottom