Siku ile pale Morogoro inaonekana kabisa Rostam Aziz alikuwa akijitahidi kumsogelea na kuwa karibu na JPM.Hiyo makala niliisoma vizuri.
lakini kuna point moja umeruka sehem. kifaa hicho mawimbi yake ni mafupi mno kiasi kwamba mtu lazima awe so close kuweza ku access hiko kifaa.
Nut in real sense. the way rais alifichwa. ilikuwa ni ngumu sana. kama PM na mawaziri hawakujua, nani angemsogelea rais zaid ya walinzi wake na madkatari wa usalama?
Plus Tanzania hatufikia uwezo wa hacking kiasi hiko. bado tuna safari ndefu.
All in all our late president aliondoka kwa tatizo la moyo. hizi theory sijui ilikuwa hivi ilkkuwa vile hazimrudushia uhai.
Wanausalama walishatoa sababu. Apumzike kwa amani
Kwaio skuiz Rostam ni HACKER..!?Siku ile pale Morogoro inaonekana kabisa Rostam Aziz alikuwa akijitahidi kumsogelea na kuwa karibu na JPM
Naungana na wewe, mambo siyo haya tunayowaza au tunayoambiwa.Kwa hali inavyoendelea kwa sasa naona kufariki kwa mwendazake kuna sababu zipo nyuma na haikuwa mapenzi ya Mungu naomba msininukuu vibaya ni maoni yangu ili na nyinyi mniambie kama ninawaza vibaya..
Sikiyajua haya mambo, mwendazake uenda kafanyiwa figisu asikae dunianiNimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator...
Mihemko + mahaba niue ndio unaweza kupata huu utoto.Ukisikiliza hotuba zake JPM kwa umakini sana, utagundua jinsi alivyokuwa anaiona hatari ya Kuuliwa. Hata mimi kwa uelewa wangu mdogo wa security nilikuwa nishaanza kunusa hiyo hatari ya kifo chake...
Watu wenye akili yao hujiuliza!!!?Nonsense. Totally nonsense. Late late has passed away aachwe akapumzike. Kwa nini mnadhani hakuwa anapaswa afe?kila binadamu atakufa kwa style yoyote. Mnahangaika na mabeberu,mnahangaika na Lissu,Mnahangaika na sababu mbalimbali.
Lakini wataalamu walishasema sababu ya kifo chake. Period.hata mkiweka weka sources za kiingereza n.k uongo upo kwa kila lugha.
to what end? whats the goal here?Watu wenye akili yao hujiuliza!!!?
lkn ukiwa na akili ya mbuzi unatek easy tu kama ww