Kwa hali inavyoendelea kwa sasa naona kufariki kwa mwendazake kuna sababu zipo nyuma na haikuwa mapenzi ya Mungu naomba msininukuu vibaya ni maoni yangu ili na nyinyi mniambie kama ninawaza vibaya...
Ni Kweli,alizungukwa na wanafiki toka VP kwenda kwa wabunge, tuliokuwa nje ya mfumo hatukuliona hilo. Baada ya wasaidiz wake kumtonya, alipata stress hatimaye walimtosa, wengine waliamua kuanzisha ziara baada ya kumuona yupo ICU. Hii haikuwa mapenz ya Mungu.
 
Serikali yake ya kifisadi tu, halafu maisha magumu, tukiaminishwa tunakokwenda ni salama. Halafu tusisahau vifo vya watu wanaodaiwa ni wakosoaji.
 
Kwa yanayoendelea huenda Magufuli aliuawa ili mambo yaendelee?!

Mods naomba andiko hili la ulizo lilindwe kwa sababu ni swali.
 
Huenda Alitaka atawale Milele ili maovu yake yasifichuliwe!!

Mods naomba reply yangu ilindwe kwasababu ni maoni yangu.
 
Kichunguzwe ili tuvumbue nini?

Itoke tena hela tena ili kufanya uchunguzi?tudeal na hayo uliyoshauri hapo juu.

kama ni ujasusi ulifanyika ulichelewa mno ntawalaumu kwa hilo😎
 
Report ya CAG inaonesha ubadhilifu wa serikali ya 5. Lakini watu ni blind-minded, ya Bagamoyo yana unafuu kwa sababu feasibility study ni mpya na tahadhali ni awesome. Tunaweza rekebisha . Mwendazake fed up our own properties.
 
Nimecheka jamaa anashawishi wabunge waishauri serikali kama iendelee au isiendelee kununua ndege, sasa najiuliza kwani ziliponunuliwa walishauri wao? Walibajeti? Wao si waliziona zinakuja tu? Wanashauri vipi kwa kitu ambacho hawakuwahi kubajeti?
 
Report hii angekabidhiwa JPM kama angekuwa hai, tofauti ni kama ingesomwa hadharani. Ndugai angesimama kidete kuipinga kwani historia inaonyesha Ndugai sio mzalendo kama anavyojidai.

Ndugai bado hajasafishwa na ripoti ya cag juu ya matumizi mabaya ya fedha za umma aliyofanya India. Kama ccm wana akili wamwondoe Ndugai kwenye uspika kwani anawadhalilisha, spika huyohuyo aliwatisha cag Assad ns Pascal waliposema bunge ni dhaifu leo ametuonyesha wazi kuwa bunge ni dhaifu.

Bahati mbaya ccm ni dhaifu hawawezi kumweka kiti moto.
 
Hii sio kawaida hata kwenye ukoo au familia kumpoteza baba na kila kitu kikaanza kugeuzwa geuzwa.

Suala la hali mbaya maofisini na mitaani lilitia hofu.

Suala la kuongeza muda liliogopwa sana

Suala la sukuma gang lenye nguvu ndani system liliogopesha sana

Mababaru yalijua kama ataongezewa time itakuwa hatari

Wakalindaa bunge na spika waje mapema kupiga promotion

Wakamundaa mama aje kubadili gia mapema kwenye miradi mikubwa na madini JPM aliyokomalia

Sasa kila kitu kimegeuka na kutoa red line kuwa jpm alipumzishwa
 
MATAGA mmepatwa na kiwewe.

Pambio mfululizo niaka 5 limewalemaza kabisa, mmekuwa vibudu. Jiwe aliwashika vibaya sana.

Mambo ya brainwashing na cult-following.

Niseme tu CORONA BABA LAO. Mtu kazikwa na mavi yake. Hehehehehe
 
Hii sio kawaida hata kwenye ukoo au familia kumpoteza baba na kila kitu kikaanza kugeuzwa geuzwa.

Suala la hali mbaya maofisini na mitaani lilitia hofu.

Suala la kuongeza muda liliogopwa sana

Suala la sukuma gang lenye nguvu ndani system liliogopesha sana

Mababaru yalijua kama ataongezewa time itakuwa hatari

Wakalindaa bunge na spika waje mapema kupiga promotion

Wakamundaa mama aje kubadili gia mapema kwenye miradi mikubwa na madini jpm aliyokomalia

Sasa kila kitu kimegeuka na kutoa red line kuwa jpm alipumzishwa
Usiseme aliuawa sema alichukiwa vibaya mno
 
Back
Top Bottom