The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Chuma kama chuma 🤣 🤣
Wale walinzi Kazi yao nn sasa Hadi washinde zuia hizo signalAttackers wanaweza kutumia radio signals au mobile phone ambayo unaweka kwenye mfuko wa shati!
Ukweli ni Kuwa Magufuli was Targeted and this time around walifanikiwa.
The Next in Line Could be Bashiru, Majaliwa na watu wenye Nguvu ambao wana falsafa ya Magufuli, nina wasiwasi endapo Rais ajaye baada ya Samia atatoka kwenye Kundi lisiloendana na Falsafa ya Magufuli, Nchi yetu inaweza kushuhudia Mapinduzi ya Kijeshi.
Inshort Magufuli licha ya muda wake mfupi ameijenga upya nchi yetu vizazi vingi vijavyo, Nyerere atakumbukwa Kama Baba wa Uhuru, Magufuli atakumbukwa kama baba wa Uchumi na Maendeleo
Kwa msiba huu mkubwa wa Baba wa uchumi, tutapata wapi muda wa wa kipuuzi kumzungumzia Tundu Lissu, yeye ataongelewa na wanachadema kwa kuwaulia chama chao. Magu kapanda mbegu ya uzalendo kwa watanzania, kifo chake kimeishikilia dunia hadi leo viewers wanakimbilia 4.2billion.Kweli Lissu I kiboko pamoja na kuwa jemadari kuondoka bado Lissu anatajwa kuwa kamwita izraili mtoa roho kuondoa roho ya jemadari!
Vipi mdogo wako afande selle hajambo? vipi kwenu mnavuta sana bange au mna magonjwa ya akili?Ukisikiliza sauti ya tatu utagundua kuwa Tundu Lissu aliwaaminisha ''majasusi'' ana uwezo wa kumtoa Rais Magufuli madarakani kwa kura au maandamano.
CORONA ni ugonjwa wa kufikirika. Nina uhakika na hilo kwa sababu nimeshamhudumia mgonjwa aliyesadikika ana CORONA na alikuwa anapumulia mashine kwa miezi miwili. Sikuvaa barakoa wala kutumia sanitizer hata siku 1. Kutakana na jinsi mnavyoupa uzito hata mtu akifa kwa kugangwa na gari mtasema CORONA.Kama hamtakuwa wakweli kuhusu Corona mtawapoteza wengi.
SwadaktaHiyo makala niliisoma vizuri.
lakini kuna point moja umeruka sehem. kifaa hicho mawimbi yake ni mafupi mno kiasi kwamba mtu lazima awe so close kuweza ku access hiko kifaa.
Nut in real sense. the way rais alifichwa. ilikuwa ni ngumu sana. kama PM na mawaziri hawakujua, nani angemsogelea rais zaid ya walinzi wake na madkatari wa usalama?
Plus Tanzania hatufikia uwezo wa hacking kiasi hiko. bado tuna safari ndefu.
All in all our late president aliondoka kwa tatizo la moyo. hizi theory sijui ilikuwa hivi ilkkuwa vile hazimrudushia uhai.
Wanausalama walishatoa sababu. Apumzike kwa amani
Ramli tu. Kwamba ni Lissu sasa kamuua Magu? Conspirancy hamuachi hata mlipotaka kumuua Lissu mara ya kwanza. Endeleeni mtufikishe kama taifa mnapopataka.
mkuu tuliza akili. umemhudumia mgonjwa mwenye corona halafu tena unasema corona haipo.CORONA ni ugonjwa wa kufikirika. Nina uhakika na hilo kwa sababu nimeshamhudumia mgonjwa aliyesadikika ana CORONA na alikuwa anapumulia mashine kwa miezi miwili. Sikuvaa barakoa wala kutumia sanitizer hata siku 1. Kutakana na jinsi mnavyoupa uzito hata mtu akifa kwa kugangwa na gari mtasema CORONA.
Nimesema aliyesadikika. Labda tutafute mkalimani akueleze vizurimkuu tuliza akili. umemhudumia mgonjwa mwenye corona halafu tena unasema corona haipo.
Nyuzi za corona zipo kibao humu pata muda wa kujihabarisha. Hata mimi nimefanya kazi na mtu aliyekuwa na Corona wiki 2 akiwa hajisikii vizuri lakini anajikokota kuja kazini. Tulikuwa wanne. Mmoja akaugua pia Corona lakini wiwili hatukuugua. Tulivaa barakoa mitaani ila tukiwa pamoja tunajiachia.
Nini kilitufanya wengine tusiugue-kinga za miili yetu zipo imara hazishambuliwi kirahisi. Mwenzetu aliyeugua alikuwa na HIV. akapambana akapona.
Acha kubishana na madaktari na wanasayansi. Hata marehemu alikuwa na mdomo kama wako