Kwani wewe ulishiriki vipi katika hiyo mipango na taarifa ulizonazo ni zipi,na inaonyesha kama una uzalendo ndani yako,kwanini usipeleke taarifa ulizonazo mahalo husika.Ukisikiliza hotuba zake JPM kwa umakini sana, utagundua jinsi alivyokuwa anaiona hatari ya Kuuliwa. Hata mimi kwa uelewa wangu mdogo wa security nilikuwa nishaanza kunusa hiyo hatari ya kifo chake...